Hivi nini kinamsumbua?

luckyperc

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
495
46
Demu wangu kila nikikutana nae kimwili anadai namuumiza, niDO taratibu asichubuke.

TATIZO NI NINI MSAADA.
 
Demu wangu kila nikikutana nae kimwili anadai namuumiza, niDO taratibu asichubuke.

TATIZO NI NINI MSAADA.
Ukiwa naye kitandani jaribu kumchezea mwili wake kutoka juu mpaka chini kwenye Ukeni wake uwe kama unavyo chezea Keyboard yako ya Computer taratibu kama

dakika 5 au 10 kabla hujafanya nae mapenzi atatoka kwa chini majimaji ukeni kwake hiyo itakusaidia wewe kufanya tendo la ngono kwa urahisi kisha unaingiza hiyo

Ndizi yako taratibu basi wote wawili mtakuwa mnasikia raha. Au kama umeshamchezea mwili wake mpaka chini lakini kule ukeni kwake hakutoki umaji maji

jaribu kumpaka ukeni kwake huyo Mwanamke wako Cream yoyote ile kabla hujafanya nae tendo la ngono hiyo itasaidia huko ukeni kwake kuwa laini na wewe kuweza kuingiza utupu wako kwa urahisi zaidi. Sio ukisha ingia nae chumbani wataka tendo la ngono kabla ya kumchezea mwanamke ndio maana analalamika unamuumiza usifanye hivyo.
 
Au ndizi kubwa????? kama siyo hivyo mi nadhani uongeze muda wa maandalizi hata akikwambia basi wewe endelea muandae kama ulivyoelekezwa hapo juu na Mzizi mkavu usiwe na papara. Na maandalizi yako inawezekana unagusa kwenye wrong parts jaribu kumdodosa maana huenda unangangania kwenye nyonyo wakati yeye haposio penyewe. Go extra mile and know where to touch!!!
 
Back
Top Bottom