Hivi nikwanini inakuwa hivi mimi sijui nasijui kama na wewe unajua!!

Kumbe huwa mnadanganya eeeh! Kwa bahati mbaya mimi huwa mu wazi sana kwa hawa kina dada, ila ninachoambulia ni kuwakosa. Yaelekea hawa ndugu zetu wanastushwa na unapowatamkia hitaji lako kwao. Nadhani ndio maana wanaume wengi inabidi waweke na kauwongo kidogo ili kunogesha.
 
Huu utandawazi ndio unaosumbua..na ndio unaofanya 'eti siku hizi demu hatongozwi'
raha ya mapenzi ni kuyatendea haki, manamke lazima umtongoze, wa jameni kutongoza pia kuna taha yake!

Mpaka mtoto anapokuja kuingia line mtu unasikia raha...it is a creational process,nice approach,good talking,targeting,hunting eeh hata kama ni mkeo unasema da wife nilikuhangaikia....and feel proud of her.

Wale ma 'domo zege' hoja kama hizi ndio hawataki kabisa kusikia but this is nature, its good to apply and feel it...!


Angalizo...! uongo, ukweli na propaganda nyiiiiingi hizo zote mbwembwe tu...! mpira dk tisini
Mkuu hawa bidadaz wa kizazi cha dot com unaweza kujikuta we umejikunja unahangaika kumbe wenzio wanapewa mzigo tu kila siku. Kalaghabhao........Na kwa taarifa yako hawa madada wakishaona we unajiona mstaarabu tongoza nyiiiingi basi na wenyewe wanajida wagumu halafu wanakuwa wanakulia vihela vyako tu. By the way sio wote ila wengi wao hasa hivi vibintiz vya chuo na maeneo kama hayo.
 
Kwahiyo wadada hawahitaji kutongozwa kweli??wa sansiro hilo nakubali!!lakini dada wa heshima zake hapana yakupasa inamaana kama huna pesa hakuna mahitaji ya mwanamke??je na hao madada wamekuwa rahisi kihivyo?Je wadada wenye pesa zao ukimtaka unafanyeje naye unamwonyesha pesa????
Mkuu hii style ya kutongoza kwa kutoa maneno kibao, watu wazima tulishaacha.......sana sana watu huwa tunafanya mitoko stori za hapa na pale halafu mwisho wa siku mabusu moto moto sweet baby na vitu kama hvyo mchezo umeisha. Hivi kwanza huwa mnaongea nini wakati mnatongoza kwa stori ndeeeeeefu?
 
tena mimi ukinijia na gia ya kwamba una gari, sijui nyumba ndio nakupotezea kabisa sababu wengi mnadhani tunapenda magari na nyumba. ha ha ha ha chezea independent woman. njoo ujieleze kama ulivyo no longo longo za uwongo
Huwa napenda kutongoza totoz zenye mind set kama yako..........halafu sasa huwa nang'oa mzigo kiulaini kabisaaaaaa, na zaidi huwa hakuna cost involved lol
 
Back
Top Bottom