Hivi nikitukanwa na member mwenzangu wa JF naweza kumfungulia kesi mahakamani

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,909
32,335
Wanabodi.

Naomba kujua kutoka kwa wana wanasheria wetu humu JF ikitokea member akakutukana au kukashifu au kukutishia maisha kuna uwezekano wowote wa kumfugulia mashtaka.

Sina nia ya kumshtaki wala sijatukanwa na members yoyote naitaji tu kujua mambo ya kisheria..

JF Daima.
 
kwanza hii ni jamii forum so anybody has the right to remain anonymous.
wewe mwenyewe uko anonymous how can you sue?
how can you prove that the alleged defamatory statement
imetoka kwa mtu halisi ilihali jina lake hujui na ww mwenyewe jina ulilotumia sio lako?
in order to prove your case first u have to establish your real status
pili uonyeshe kuwa unamjua aliekutukana in his real name
na pia uweze kuonyesha how offensive is the statement na wewe mwenyew imekuathiri vipi.
by the way hii ni social media na ulijua the risk ya kujoin
hapa so ni kazi kweli kufungua shtaka kwa mtu usiemjua
na moderator yuko under NO obligation to disclose the
status of his members NA kwa sheria za Tanzania its not easy for the court to compell moderator kufanya hivo
so my brother kuwa mpole.for me i dont see kama utaweza kuishtaki
labda ni kumuomba moderator afute content iliokutukana na kumpiga burn mtukanaji kwa vile atakuwa amevunja sheria
za JF. and dont expect to get more remedies.
 
na wewe unamtukana! kama humjui na wewe hakujui kuna ubaya gani! Mrudishie tusi lake
 
na wewe unamtukana! kama humjui na wewe hakujui kuna ubaya gani! Mrudishie tusi lake

Mkuu tupo Jukwaa la Sheria kama huna cha kuchangia ni bora uwe msomaji hujifunze.
 
Pengine unaweza kumshitaki kwa kutukana (jinai) na sio kukutukana (madai) maana wewe mwenyewe 'umejificha' nyuma ya ID.
 
Nakumbuka wakati yule mchezaji mpira wa Bolton ya Uingereza Fabrice Muamba alivyopata matatizo ya moyo uwanjani kuanguka na kupoteza fahamu kuna kijana mmoja wa Kingereza anaitwa Liam Stacey, alitoa lugha ya kejeli na matusi dhidi ya Muamba, kwenye mitandao ya kijamii alifunguliwa mashtaka na kukutwa na hatia akafungwa jela siku 56.

Mkuu Rutashubanyuma na Mkuu Kimbunga tupeni michango yenu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu hii forum ina uongozi. tff hawawezi kupelekana mahakama kama ilivyo jf. jf tuna sheria zinazo tuongoza na utahukumia kulingana na sheria ya jf uliyo vunja. hata hivyo magreat thinker wa jf hawatukanani.
Hata hivyo hamna kesi nje ya hapa coz aliyetukana ni dubu. je mahakani utadhibitishaje kwamba wewe mwamba ndo umetukanwa wakati huku inaonekana aliyetukanwa ni dubu. nadhani hamna kesi za hivyo. but mtu akikutukana kwa jina lako linalo tambulika hapo sawa. jf sote tu marobot.
 
Pengine unaweza kumshitaki kwa kutukana (jinai) na sio kukutukana (madai) maana wewe mwenyewe 'umejificha' nyuma ya ID.

Kama tunafahamiana je na kuna members wengine wanajuana humu JF.
 
Kama tunafahamiana je na kuna members wengine wanajuana humu JF.
Kama mnafahamiana then yes inawezekana, ingawa naona inaweza kuwa ngumu ku prove 'defamation' labda kama kuna watu wengi wanakufahamu humu (say una watoto wako humu na wanaijua ID yako!).
 
kwanza hii ni jamii forum so anybody has the right to remain anonymous.
wewe mwenyewe uko anonymous how can you sue?
how can you prove that the alleged defamatory statement
imetoka kwa mtu halisi ilihali jina lake hujui na ww mwenyewe jina ulilotumia sio lako?
in order to prove your case first u have to establish your real status
pili uonyeshe kuwa unamjua aliekutukana in his real name
na pia uweze kuonyesha how offensive is the statement na wewe mwenyew imekuathiri vipi.
by the way hii ni social media na ulijua the risk ya kujoin
hapa so ni kazi kweli kufungua shtaka kwa mtu usiemjua
na moderator yuko under NO obligation to disclose the
status of his members NA kwa sheria za Tanzania its not easy for the court to compell moderator kufanya hivo
so my brother kuwa mpole.for me i dont see kama utaweza kuishtaki
labda ni kumuomba moderator afute content iliokutukana na kumpiga burn mtukanaji kwa vile atakuwa amevunja sheria
za JF. and dont expect to get more remedies.

umemjibu vizuri,a good lawyer knows where to find the law and how to apply it.
 
Back
Top Bottom