Hivi Nifanye Nini Ili Uelewe Nakupenda

We una uhakika gani kama hakupendi bana??? Komaa nae tu......atafutae hachoki!! heheheh ila uwe unapima na majibu anayokupa aisee!!
Kipipi nimejitahidi ila tatizo ni moja tu nilimwambia niko nje ya Tanzania na sitegemei kurudi hivi karibuni labda hilo ndio tatizo
 
Watu wengine tungekuwa tunapata mazali kama haya wala tusingekuwa tunazidisha hata sekunde...:lol:
 
Ingekuwa ni kule fb mbona ingekuwa tayari,ila hapa jf wadada wa hapa ni kichwa ngumu pasua kichwa,watu kama lizzy,rr,asha di,sl na wengineo si wa kuwaendea kifacebookfaebook,wanataka wakuone live,wakuhoji huku wanakutumbulia macho,so jitahidi uje bongo,
NB.
Uwe muoji kweli na sio mbabaishaji.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom