elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
Nilikuwa naongea na rafiki yangu mmoja ni raia wa u.k lakini anaishi south africa ambaye alikuja hapa nchini kwa ajili ya kusajili kampuni.
Anadai tanzania mambo hayako wazi na ni vigumu kujua cost halisi za kufanya kitu. Anadai investors kibao wamekuwa discouraged kutokana na mwenendo mzima wa mambo yanavyofanyika. Mfano anadai kazungushwa katika kusajili kampuni na si yeye peke yake wapo watu wengi tu wnalalamika.
Anasema nchi kama zambia na malawi mambo yako wazi na haichukui zaidi ya miezi miwili mambo kuwa tayari na huzungushwi kwakuwa mambo yote yanafanyika ndani ya office chache tu.
Yeye alitaka jenga kiwanda cha kutengeneza juice, pia alitaka jenga hotel na casino lakini anadai amekata tamaa na ameamu ni bora aka invest zambia.
Jambo ninalo jiuliza tatizo liko wapi hapa kwetu.