Hivi ni upi U - professor wa Mh Lipumba? Sina shaka na elimu yake lakini.....

Profesa Ibrahim Lipumba navokumbuka kabla hajaingia katika milingo ya Kisiasa alikua chuo kikuu akisomesha bada ya hapo wakati wa utawala wa Mwinyi akawa mshauri wake katika mambo ya uchumi.

Na kuna kipindi kuna nchi moja ya Afrika alienda kumshauri rais wa nchi moja ya Afrika na kumpa ushauri ktk mambo ya uchumi baada hapo akaingia rasmi ktk mambo ya siasa alipojiingiza ndio serikali ya CCM ikamfukuza kule chuo kikuu ila zaidi angalia his CVs.

Date of Birth: 6th June 1952
Marital Status: Married

Field of expertise:

  • International Trade and Finance, Macroeconomics
  • Development Economics and Agricultural Economics

Current research focus:

  • Impact of Liberalization of Foreign Exchange and Other Financial Markets on Economic Development in Sub-Saharan Africa
  • Globalization and Economic Development in Sub Sahara Africa
  • Policies to Promote Growth in Sub Sahara Africa

Education:

  • 1978-83 Ph.D Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  • 1977-78 M.A. Economics, Stanford University, Stanford, CA 94305
  • 1976-78 M.A. Economics, Faculty of Arts and Social Sciences
  • 1973-76 B.A. (Hons) Economics, University of Dar es Salaam

Academic Honors:

  • 1977-1983, Rockefeller Foundation Fellowship
  • 1986-1989, Kellog International Fellow in Food Systems
  • 1976, Best Student Award, Faculty of Arts and Social Sciences, University of Dar es Salaam

Employment:

  • 1999- Independent Consultant, Dar es Salaam
  • 1996-1998, Senior Research Fellow at the World Institute for Development Economics Research, UNU/WIDER, Finland.
  • 1993-1995, Fullbright Visiting Professor, Centre for Development Economics Williams College, USA.
  • 1991-1993, Personal Assistant to the President (Economic Affairs) i.e. Economic Advisor to the President of the United Republic of Tanzania.
  • 1989-1996, Associate Professor Department of Economics, University of Dar es
  • Salaam.
  • 1996-1998, Senior Research Fellow, World Institute of Development Economics Research, United Nations University, Helsinki, Finland.

Consultant to:

  • The World Bank, UNDP, Global Coalition for Africa, Preferential Trade Area for Eastern and Southern Africa (now COMESA),
  • Swedish International Development Agency (SIDA),
  • NORAD,
  • DANIDA,
  • Ministry of Foreign Affairs Finland,
  • Bank of Tanzania, Macroeconomic and Financial Management
  • Institute of Eastern and Southern Africa, African Capacity Building Foundation

Other Responsibilities:

  • 2005, Presidential Candidate, Civic United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2005.
  • 2000, Presidential Candidate, Civic United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 2000.
  • 1999- Present, Chairman, Civic United Front, a Liberal Democratic political party in Tanzania.
  • 1996-1998 Visiting Professor of Development Economics, University of Helsinki.
  • 1995, Presidential Candidate, Civil United Front, General Election of the United Republic of Tanzania, General Election October 1995.
  • 1995-Present, Member United Nations Committee for Development Policy.
  • 1993, Chairman, Probe Committee on the Management and Leadership crisis facing the National Insurance Corporation.
  • 1992, Chairman, Presidential Commission of Enquiry on the financial problems of Shinyanga Region Cooperative Union.
  • 1991-1993, Commissioner, Presidential Commission on Parastatal Sector Reform, Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1990-1993, Chairman, Board of Directors, Imara Wood Industries, Moshi, Tanzania.
  • 1990-1993, Member, Board of Directors Tanzania Wood Industries Corporation TWICO, Dar es Salaam, Tanzania.
  • 1992-1993, Member, Board of Directors, National Insurance Corporation, Dar es Salaam, Tanzania
  • 1990-1993, Member, Board of Directors, Tanzania Karatasi Associated Industries (TKAI), Dar es Salaam, Tanzania.

Selected Publications:

  • Stabilization Policies in Tanzania, University of Dar es Salaam, 1984.
  • African Unity, Some Practical Guidelines, MAWAZO Vol. 1. No. 2, May 1983. Published by Stanford African Students Association.
  • Problems and Prospects of African Economic Integration , MAWAZO Vol. 1. No. 1, April 1982.
  • The Brandt Commission Report: A General Overview, Journal of Economic Reflections, January 1982.
  • Book Review, R. H. Green (et al.) Economic Shocks and National Policy Making. Tanzania in the 1970s. UCHUMI Journal of the Economic Society of
  • Tanzania.
  • The Economic Crisis and Basic Needs in Tanzania, ILO Basic Needs and Development in Tanzania 1983 Addis Ababa.
  • Basic Needs and Agricultural Development Policy: A Critical Review. ILO
  • Basic Needs and Development in Tanzania. 1983 Addis Ababa.
  • "Macroeconomic Management of the Tanzania Economy", International Development Research Centre. The Zambian Economy: Problems and Prospects 1984.
  • "Policy Reforms for Economic Development in Tanzania", published in Stephen K. Commins (ed.) Africa Development Challenge and the World Bank. Lynne Rienner Publishers. Boulder/London. 1988.
  • "The Global Trading System and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) Dealing with the North. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario) 1987.
  • "Domestic Supply Constraints versus Market Access Problem in International Trade and Economic Development of Tanzania" in John Whalley (ed.) The Small Among the Big. Centre for the Study of International Economic Relations (London, University of Western Ontario).
  • "A Supply Constrained Macroeconometric Model of Tanzania" Economic Modelling Vol. 5 No. 4. October 1988 with Ndulu, Horton and Plourde.
  • "Market Liberalization and Food Security in Tanzania", with Amani, Ndulu and Kapunda. Proceedings of SADCC Food Security Conference Harare 1987.
  • "The Arusha Declaration and Economic Development of Tanzania", in Hartmann, J. The Arusha Declaration Twenty Years After (Copenhagen Centre for Development Research) 1990.
  • "Reflections on Economic Development in Tanzania", in UCHUMI Journal of Economic Society of Tanzania 1987.
  • The Impact of Market Liberalization on Household Food Security, with Amani, Ndulu and Kapunda. SADCC Conference on Food Security Conference
  • Proceedings. 1988.
  • Reflections on Long Term Development Strategy in Tanzania, in World Bank Sub-Saharan Africa: From Crisis to Sustainable Growth A Long Term Perspective Study, Vol. I. 1990.
  • The Record and Prospects of the Preferential Trade Area of Eastern and Southern African States in Chhibber Ajay and Stanley Fischer Economic Reform in Sub-Saharan Africa World Bank 1991.
  • Determinants of Appropriate Exchange Rate, in UNDP Aspects of Exchange Rate Determination United Nations, New York 1991.
  • Exchange Rate Policy in Tanzania, UNDP, Stabilization and Adjustment United Nations, New York 1991.
  • Tanzania: Medium Term Development Issue and Prospects, African Development Bank, African Development Report 1994.
  • Structural Adjustment Policies and the Economic Performance of African Countries. United Nations Conference on Trade and Development International Monetary
  • and Financial Issues for the 1990s. Vol. V. 1995.
  • African Beyond Adjustment, Policy Essay No. 15 Overseas Development Council Washington, D.C. 1994.
  • "Financing Long Term Development in Sub-Sahara Africa" in Culpeper Roy, Caroline Pesteau, IDRC, Development and Global Governance 1995.
  • "The Liberalization of Foreign Exchange Markets and Economic Growth in Sub-Sahara Africa" UNU/WIDER Research for Action No. 35, 1997.
  • "An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance – Namibia." A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
  • "An evaluation of the institutional set up and technical capacity of the Ministry of Finance – The Kingdom of Swaziland." A Consultancy Report to The Macroeconomic and Financial Management Institute of Eastern and Southern Africa (MEFMI) 1998
  • "The Macroeconomic And Financial Management Institute Of Eastern And Southern Africa, Mefmi – Midterm Review" Consultancy Report to MEFMI Liason Committee (1999).
  • "Opportunities and challenges of globalization: Can sub-sahara Africa avoid marginalization?" in UNDP(1999) Back ground papers to the 1999 Human Development Report.
  • "Globalization of Finance and Development Prospects in Africa." In UNDP Cooperation South No. 1 1999
  • "Debt Relief and Sustainable Development in Sub Sahara Africa" Paper presented at the Fifth Group Meeting on Financial Issues of Agenda 21, Nairobi Kenya December 1999
 
Napenda kufahamu nini Uprofessor wa Mh Lipumba Ibrahim maaake sijawahi kusikia anafanya nini na taaluma yake hii Je?ana ushauri gani kwa serikali ya Bongo??
Nataka tu kuelewa simsemi vibaaya ni Proffesor wa ukweli namkubali lakini nataka kufahamu nini anafanya ukiondoa Uenyekiti wa Cafu.

Ahsanteni hope to get good answers from you The great thinkers

Mkuu Mboko,

1.Ni Prof.wa Uchumi,

2. Inawezekana ni kweli hujawahi kumsikia akifanya chochote nchini na "u-prof" wake, ila aliwahi kuwa mhadhiri(lecturer) pale UDSM,

3. Nje ya nchi Prof. Lipumba pia amewahi kutumia kama mshauri wa masuala ya Uchumi kwa nchi ya Uganda, mhadhiri katika nchi ya Kenya pamoja na majukumu mengine ambayo yametajwa hapo juu na mkuu bagwell.

4. Na nadhani ni ngumu kufanya kazi ya USHAURI "Bongo" kwa sababu wengi wetu tunachukulia Opposition party ni mtu KUPINGA KILA JAMBO linalosemwa na serikali, na tunasahau kuwa ni KUPINGANA KWA SERA!Hivyo labda akitaka kushauri atakuwa/itaonekana "anapinga pinga tu"

Nadhani ulimaanisha CUF na si CAFU mkuu.
 
kwenye chama hawezi kwani inaelekea chama chake katibu mkuu ndiye mwenye sauti ya juu zaidi sijui labda waje wapambe wake wasme hapa nani mwenye sauti ya mwisho kuko cafe.
 
Kawaida ya siasa zetu hapa bongo ni kwamba mtanzania mwenzetu hata akiwa na uwezo vipi kitaaluma, kama yupo upinzani hawezi kuthaminiwa. Atapondwa aonekane si lolote wala si chochote. Lakini poa tu, ipo siku utanzania wetu utarejea tuwe kitu kimoja. Hizi siasa za chuki zilizopandikizwa na ccm haziwezi kutufikisha popote.

uko nje ya mada, mleta mada anataka kujua shughuli za prof. nje ya siasa.
 
Kama U-dr wa SLAA hauwashangazi na munaona manufaa yake, na U-Prof wa Lipumba munauhoji, nchi hii itakuwa masikini milele!
 
Lipumba ni profesa wa uchumi. ila hatumiki vizuri Tanzania kwa sababu yupo upinzani. lakini jamaa yupo tayari kuwasaidia watanzania lakini fursa hapewi na watanzania wenyewe.

nilishamsikia semina kibao zahapa nyumbani akitoa mawazo yake. watu wengi hawamsikii kwa sababu wako negative naye

alishatoa bajeti mbadala kwa nchi yetu mara nyingi akifafanua ni vitu gani kwa msingi kwa ajili ya uchumi wetu kwa manufaa ya watu wetu wote. Sasa nyinyi mnataka afanye nini ikiwa hana mamlaka na hii nchi zaidi ya kutoa ushauri?
 
I think the problem is Politics and Academics ni platform mbili tofauti. Prof ni academician mzuri as well as Economist mzuri if not one if the best in the world. But i think sio Politician mzuri, as a politician hajaweza kuprove. Chadema came na wakawabeat kuwa the Official opposition party huku wakija na strategies ambazo zinaoenekana kabisa kwamba zimekomaa kisiasa na ni advance. But the Popularity graph ya Prof na chama chake has been declining kadri siku zinavyokwenda mbele mfano hai ni igunga. Walipata kura 11,000 na ushee but uchaguzi uliporudiwa wakapata 2000 votes. Na sasa ndo wameprove kwamba their out of touch na they have been beaten kwa kuja na a copy cat of M4C (V4C).
 
Wakuu Lipumba mipango ya kukopi na kupaste hajafanya kwani ukiangalia manifesto ya CUF ya mwaka 2010 inaelezea zaidi mkakati wa kuchangisha au kuzindua V4C sasa hao chadema ndio waliokopi na kupasti
 
Sasa nyinyi mnataka afanye nini ikiwa hana mamlaka na hii nchi zaidi ya kutoa ushauri?
Nilitaka nikupe mfano wa wataalamu wa vyama vya upinzani Afrika kusini wanavyokosoa serikali ya ANC

Nikakumbuka hata hapa Tanzania tunaye ZZK. Angalia ZZK anavyotumia media . Naye professor Lipumba ilitakiwa awe anafanya hivyo hivyo kama kweli ana mapenzi ya dhati na nchi

Au afanye pilot project ya maendeleo.

Wakati wa Mwinyi uchumi ulikuwa juu, huh? Nijuavyo mimi wakati wa Mwinyi kulifanyika mabadiliko ambayo wakati wa Nyerere yalikuwa unwelcome. Free market economy. Hiyo ilikuwa sera ya IMF

Uganda haijawahi kuwa better than us. Ninachoona Uganda serikali ni maskini isipokuwa wananchi ndo wenye maendeleo kwasababu wanaoendesha biashara Uganda ni wazawa siyo wahindi wala wageni wowote. Sasa huyo Prof Lipumba sijui atasifiwa kwa lipi?
 
Anaemchukia Lipumba na amchukie ila ukweli utabakia kua Lipumba ni kiboko kuliko yoyote katika Tanzania...Na ndio mna alitokea wa pili ktk wanauchumi bora Duniani..
 
Anaemchukia Lipumba na amchukie ila ukweli utabakia kua Lipumba ni kiboko kuliko yoyote katika Tanzania...Na ndio mna alitokea wa pili ktk wanauchumi bora Duniani..


Ni nani alifanya hiyo short list ya wachumi hadi akawa wapili duniani? Watoa tuzo ya Nobel kwa uchumi hawakufikiria hata kumpa zawadi kama alikuwa wapili?
 

Mkuu Genecius Kaiza,
Jamaa kashindwa kuinua uchumi wa CUF wa Taifa ataweza? Tangu miaka nenda rudi CUF imekua ni chama kinachotegemea ruzuku licha ya kuongozwa na Profesa wa Uchumi! Mbowe juzi juzi kabuni mbinu ya kuchangisha wafuasi kuongeza wingo wa mapato ya chama, nae kakopi na kupesti. Is this how Professors work?

Nakala: Kaka Mkweli

Mkuu umeua!!
 
U see guys...humu ni majungu tu! mara Lipumba kichwa maji mara hivi, is this a character of a great thinker as you call yourselves? Now mnaleta udini..... mnamponda kwa kuwa ni dini fulani. angekuwa mla nguruwe mngempa asilimia 100%. Kwa wanaohudhuria debates zake, Uni lecturers wanafahamu Lipumba ni nani.. Nakuapieni namna hii hatuwezi kuipeleka nchi hii mbele. You are becoming another CCM, which also gives shit to the learned people. Shame on you! Namna hii tunaizika CDM... because hizi chuki zenu za kijinga na kitoto will keep haunting you. Nawambieni tena.... sisi graduates wa Uchumi tunamtambua Lipumba na mchango wake katika kupika vijana wa nchi hii. Katika CDM hakuna mchumi....labda kijana Zitto. muulizeni Zitto atakufahamisheni nani Lipumba. au pia kwa kuwa Zitto si miongoni mwenu ndio maana pia mnampiga vita just because si mla nguruwe. come 2015, your regretion is just a blink away!
 
Naomba tupatieni CV ya Dr Slaa humu sasa hivi ili tuone naye ameifanyia nini dunia hii kama sio inchi hii ya Tanzania. CV ya Slaa please kwa wenye nayo
 
Umefanya vizuri kulizungumzia hilo. Mimi mwenyewe ni muislam lakini siwezi kuruhusu hawa watu watumie gia ya uislam kupata kura zetu

Prof Lipumba haongei na wananchi mpaka nyakati za uchaguzi tu!

Uislamu umeingiaje Tena?inaonekana chuki zako dhidi ya uislamu umeamua kuziweka wazi.
 
Back
Top Bottom