Hivi ni swali gani la kumuuliza katibu mkuu wa ccm kesho atakuwa na mkutano wa hadhara.

shimwe

JF-Expert Member
Jul 20, 2013
213
76
matangazo ya ujio wake yalianza tarehe 16/05/2014 mpaka dakika hii eneo la mkutano kuna pigwa nyimbo za ccm stand ya mabasi IKUNGI SINGIDA kama ataruhusu maswali nimtwange swali gani la maana ni kesho tarehe 20/05/2014 ndiyo mkutano utafanyika.
 
Muulize ajira za vijana walizo ahidi kwenye kampein za uchaguzi 2010 ndo hizi tunazo ona vijana wanaokota chupa zamaji kwenye majalala au tuendele kusubiri maisha baro kwa kila Matanzania?
 
Muulize kwa nini waongo na wanatufanya sisi misukule?na ye haoni aibu kuja kujichoresha mbele ya watu wazima.
 
Muulize kwanini ana ID nyingi sanaa hapa JF, Na anawezaje kukumbuka majina yake na password?
 
Muulize kwa nini anashindwa kumwambia JK kuwa yeye nae ni mizigo kwa kushindwa kuwawajibisha mawaziri mizigo.?
 
muulize kwanini chama chenu kinakataa maoni ya wananchi ya katiba kuusu muundo wa serekali. iyoo katiba ni ya wananchi au ya kwenu ccm?
 
Muulize ni lini walimu watalipwa madai yao? Maana serikali ya chama chake imeshindwa kuwapatia walimu haki zao
 
muulize 2015 ataanza kulima ama ataendelea na busness inayomlipa...meno ya ................?
 
Kuhusu kuangua kilio jukwaani kule Tabora jee alikuwa anawalilia wakulima kweli au baada ya kuambiwa Tabora tembo wameisha hivyo ziara haina mafanikio kibiashara?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hahaaa. muulize wale twiga walioenda abu dhabi watarudishwa au imeahakula kwetu?
 
Back
Top Bottom