Hivi ni simu,network au!!!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Samahani wadau kuna swala nashidwa kujua pale unapompigia mtu simu afu sauti yake inatoka ikiskika kama ya mzee(kiumri) hivi ni tatizo la simu au network?
 
Hizo ni settings kwenye simu. Kuna aina za simu ambazo huruhusu settings hizo kubadili voice tone kuwa ya kike, kiume au hata ya mtetemo na wengine huziset hivyo kutishia wengine hasa wasumbufu kwani mara usikiapo sauti ya mzee kiumri nawe ulipewa namba na mdogo hujua kuwa umepotezewa. Pole ndiyo teknolojia hizo:dance::dance::dance:habari ndiyo hiyo:A S 103::A S 103::A S 103:
 
Back
Top Bottom