Hivi ni Sahihi Kumpa Mpenzio Shikamoo?

Status
Not open for further replies.
shi ..shi shi.......ka mooooooooo!

Hiyo ni saa 11 alfajiri mmeanza kale kamchezo! kwi kwi kwi kwi
 
In a serious tone....mpenzi kumwambia mwenza wake shikamoo ni uenda wazimu!
Yani inakuwaje vile!!! unakuwa safari unarudi anakwambia shikamoo au unaamka asubuhi sana, unapata kie cakula then ukitoka kitandani anakwambia shikamoo au???

Gkundi kuna ile shikamoo ya kiuchokozi yaani ya kuamsha hali flani hivi ya kuita (Unaelewa namaanisha nini hapa).

Hii ya mdada kusema 'shkang'' huku jicho kalilegeza, sauti ya puani na kidole anaking'atang'ata kama mtoto mwenye njaa ya maziwa!! na hii binti huitoa akiwa hajajitutika miguo miingi.

by the way Gender sensitiv - hapa una maanisha shikamoo kwa wote yaani kama ni mke ndo anastahili kuipata apate na kama ni mume vivyo hivyo au?
 
hapo inahusu!, hiyo ndo tukiipenda sisi wazee wa pwani.....

hizo nyingene za kawaida na itoshe tu kuseam kuwa hata kama imetoka kwa mwarabu, ndo imeshakuwa sehemu ya utamaduni wetu ivo. Na sidhani kama unapoamkia aliyekuzidi umri mtu anakuwa ana ile literal meaning ya neno shikamoo...ni namna yetu ya kuamkiana tusitake kuiga wazungu tu hapa

MJ1 umenifurahisha kweli na hiyo 'shkang'...dah:p
 
Shikamoo inapendeza sana ikitoka kwa mkeo kwani inaonyesha ile heshima yenyewe iliyopo baina ya wapenzi hao. Mimi binafsi pamoja na kwamba sijaanza kuipata lakini naitamani na kuipenda sana, i wish my wife to be so far unknown atakuwa ananipa shikamoo
 
Bado hujaweza kufind hiyo unknown tu? Muda unakweda if you really mean it !
 
Wakuu habari zenu!
Hili jambo limekuwa likinitatiza sana tena sana...Utakuta binti au mwanamke aliyeolewa anamwamkia mume wake eti kwakuwa mwaume ni mkubwa kiumri kuliko mkewe,mimi hii sielewi kabisa..What I know mke na mume ni mtu na rafiki yake tena ndio best friends na kwaninavyofahamu maana shikamoo naona haistahili kufanyika kwa wapendanao..mimi kwangu naona haina maana kabisa kumpa shikamoo mumeo hata kama amekuzidi miaka 40! Lakini kila kukicha nasikia watu wakiwaamkia waume zao..Jamani hivi hii imekaaje?je ni sawa?

Hapo umesema kweli shikamoo kwa mpenzi au mume halileti maana, ni kujinyenyekeza tu kwa hawa viumbe ambako kwingine hakuna sababu
 
Sijui kuna mtu kamuamkia leo asubuhi luv? au kaamkia upande mzuri leo...lol

We kaizer na mkeo hebu acheni umbeya mtasutwa lol.... eti kuna aloniamkia ah

Mie hata cjui leo imekuwaje nimeamka na furaha ka mdudu!!
 
itakuwa vyote viwili luv....lol

Babra samahani natoka nje ya mada!
Unajua nakupenda hadi shetani anachukia? niko chini ya miguu yako (na macho nimeyafumba) naomba urudie lile jina lako la zamani, mwenzio napata shida kweli kukuzoea!!
(Ni ombi tu dada.....au ndo mambo ya mr anapendad lol kaizer vibaya hivyo-unadictate hadi jina!)

Ehee haya twambieni kwa nini hampeani shkamoo wewe na mwenzio?
 
Hapo umesema kweli shikamoo kwa mpenzi au mume halileti maana, ni kujinyenyekeza tu kwa hawa viumbe ambako kwingine hakuna sababu

duh mkuu Kachoki kwa nini unadhani ni 'kujinyenyekeza kwa hawa viumbe' and whats really wrong with that? mi nadhani tunalichukulia suala zima out of context..kama hata mwenzio unamwita 'kiumbe' inaonyesha some prejudices ambazo if kept, a relationship cannot last long..mapenzi yanapaliliwa wajameni na wanaojua kupalilia, kutia mbolea, kuprun, kupiga dawa, ndio wanavuna! Nirudie tena kuwa kuna shikamoo na 'shkang' ya MJ1 aliyozungumzia...
 
Babra samahani natoka nje ya mada!
Unajua nakupenda hadi shetani anachukia? niko chini ya miguu yako (na macho nimeyafumba) naomba urudie lile jina lako la zamani, mwenzio napata shida kweli kukuzoea!!
(Ni ombi tu dada.....au ndo mambo ya mr anapendad lol kaizer vibaya hivyo-unadictate hadi jina!)

Ehee haya twambieni kwa nini hampeani shkamoo wewe na mwenzio?

Nambie kama 'shkang' wanapeana hadharani au? lol
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom