Hivi ni sababu gani imfanyayo mwanamke kuwa Changudoa?

Wakuu nimekuwa nikisikia neno hili changudoa na kujiuliza nini hasa chanzo cha hawa ndugu kujiingiza na tabia changu aifanyao?wakati mwingine nimekuwa nikijiuliza kuwa hii biashara ni wadada maskini au ambao hawajasoma au laah.Mpaka hivi ninavyoandika hii hoja sijapata jibu.
ukienda casino,Jolly Club,maisha club,club ambience kwa ufupi tu japo zipo kumbi nyingi ambazo unaweza kutana na hao wadada achilia mbali kwa mama cheni na kinondoni makaburini,temeke na mahosetli mengi (hostel ya Buguruni,mabibo Hostel kwa ufupi tu.

Wakuu nini hasa kinachopelekea dada yangu mkubwa kujiuza?ni kweli nikutafuta kipato au ni hulka?nikufuata mkumboa au ni sifa za kijinga?

kama nikutafuta kipato mbona wenye kazi zao utawakuta wapo kwenye biashara hiyo?
Na kama ni ukosefu wa elimu mbona walioko vyuoni ndo wanaongoza jahazi?
reference hall three,mabibo hostel,mzumbe,St gasper Mwanza tumaini university?

wakuu nisaidieni maake imekuwa kero na tabia hii ya ndugu zangu.

Binafsi, naona ni tatizo linalohusu jinsia zote mbili. Kenye social anthropology nilijifunza, mfano, kwamba kwa kawaida inaonekana mwanamme ndiye anayechagua amwoe nani lakini ukweli ni kwamba ni mwanamke ndiye anayechagua aoelewe na mwanamme gani.

Hii inaonekana hata kwa hao tunaowaita machangudoa. On the surface, inaokana ni wao wanaojiuliza lakini 'behind that' kuna wanaume wanaotaka 'behaviour' hiyo wanayoifanya na ndiyo maana wao wanafanya hivyo. Kwa maneno mengine, wanakidhi mahitaji ya soko. Kwa hiyo, ni soko (wanaume) ndilo linalowafanya wawe hivyo.

Hao wanaume wakitaka vinginevyo, mfano, watu wenye heshima, hakutakuwa na machangudoa tena. If I have to blame anybody, ni wanaume wenyewe!
 
Uchangudoa ni matokeo ya imperfections katika society. It has nothing to do with poverty wala nini. Ni form ya violence ambayo wanaoifanya huwa wanashida fulani za kisaikolojia. Kama nilivyosema hapo juu chanzo chake ni matatizo yaliyoko katika mifumo yetu ya maisha. Ni njia moja ambayo baadhi ya wanawake huitumia ku-rebel against injustices wanazofanyiwa huko majumbani. ni Violence!!

Ukiona faimilia kwa nje you think every thing is alright. Lakini ukweli kwa ndani kuna matatizo. Kuna abuse nyingi zinaendelea behind closed doors. Hizi abusive behaviours regardless nani anazifanya, hujitokeza nje katika form ya uchangudoa, ushoga pamoja na so many other sexual pervations.

Uchangudoa hufanywa na kina dada na ni form ya female violence, lakini kina baba nao wanazo njia nyingine za ku-vent out matatizo yao ikiwa ni pamoja na kuwanunua machangudoa, physical abuse, n.k.

Jamii ambayo haina matatizo ndo hukosa mambo hayo. Lakini ukweli ni kuwa jamii hiyo hapa duniani haipo na uchangudoa uko duniani kote bila kujali hali ya kiuchumi.
 
Nyege Mshindo ndo chanzo, umaskini ni sababu ya pili, ukosfu wa wanaume nao pia unachangia
 
Kwa wengi uchangudoa ni ugonjwa sawa na ulevi wa mihadarati. Seli za ubongo kwenye "limbic system" hukua sana (sawa na wajenga msuli au vilema wa bauskeli za mkono). Hii huleta mabadiliko ya uhitaji wa ngono / kutoridhika na mwanamme mmoja. Sehemu hii ya ubongo hukuzwa na kuanza ngono mapema kabla. Ya kupevuka. Utafiti uliofanyika Dar miaka ya 90 zaidi ya nusu ya machangu wana ajira rasmi na mshahara wa kutosha; na wengine hawatozi wateja wao wa kila siku
 
Back
Top Bottom