Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,776
- 59,127
Uliziona lakini?
Yeahhh , a bit later.Na salam nikatoa.
Uliziona lakini?
Symptoms?Bacteria, jina nimesahau.
Symptoms?
Pole kipenzi i got some medication for you ila sasa naanza kuwa na wasiwasi na ile ishu yetu..Sore throat (the worst you could imagine, can't talk and swallowing seems like a punishment), massive headache (painkillers won't help), fever (the worst I have experienced), dizziness and one painful body (kinda like it's been run over by a truck).
Sore throat (the worst you could imagine, can't talk and swallowing seems like a punishment), massive headache (painkillers won't help), fever (the worst I have experienced), dizziness and one painful body (kinda like it's been run over by a truck).
Nafikiri nilikuwa nimeishakimbia kulisha na kukamua ng'ombe maziwa..Yeahhh , a bit later.Na salam nikatoa.
Pole sana Lizzy, get some rest. Najua hakuna kitu kinakera kama watu kujaribu kukushahuri dawa but I will do it huny (sorry): tumia asali na orange juice. Inasaidia sana for sore throats. Hiyo ndio inasababisha vingine vyote (I think). And after all, you have nothing to lose... just try it.Sore throat (the worst you could imagine, can't talk and swallowing seems like a punishment), massive headache (painkillers won't help), fever (the worst I have experienced), dizziness and one painful body (kinda like it's been run over by a truck).
Jibaba naenda vacation Ireland tukutane huko...Wish I could share that tough time of urs, I know pole (kiswahili) won't help but at least it will show somehow I care. Pole sana mrembo.
Am there and free if u want my online therapy lol
Thanks!!!Pole kipenzi i got some medication for you ila sasa naanza kuwa na wasiwasi na ile ishu yetu..
Thanks Kloro, ila hiyo therapy aiseee i'll have to pass maana hata kucheka siruhusiwi.Yani hata kiJF JF nikijaribu inagoma.Wish I could share that tough time of urs, I know pole (kiswahili) won't help but at least it will show somehow I care. Pole sana mrembo.
Am there and free if u want my online therapy lol
Thank you dearest, nimeanza dozi ya antibiotic leo ngoja niipe nafasi ya kufanya kazi. But i'll definately save that remedy of yours for next time so niambie na kiasi kabisa.Pole sana Lizzy, get some rest. Najua hakuna kitu kinakera kama watu kujaribu kukushahuri dawa but I will do it huny (sorry): tumia asali na orange juice. Inasaidia sana for sore throats. Hiyo ndio inasababisha vingine vyote (I think). And after all, you have nothing to lose... just try it.
Hehehehehe (huku nimekunja uso), umeuza lita ngapi leo?Nafikiri nilikuwa nimeishakimbia kulisha na kukamua ng'ombe maziwa..
hehehe mimi niko shekoslovakia bana! lakini ukifika pale nitaongea na wazembe wa uhamiaji wakuweke chini ya ulinzi mkali halaf wakulete huku shekoslovakiaJibaba naenda vacation Ireland tukutane huko...
Thanks Kloro, ila hiyo therapy aiseee i'll have to pass maana hata kucheka siruhusiwi.Yani hata kiJF JF nikijaribu inagoma.
Ng'ombe hajatoa maziwa mengi ametoa lita kumi tu, halafu kesho ndio naenda kwenye ile ishu halafu ole wako useme umesahau ni ishu gani..Hehehehehe (huku nimekunja uso), umeuza lita ngapi leo?
Usjali honey!
Hii imekula kwako jibaba waziri mkuu wa Ireland ndugu yangu..hehehe mimi niko shekoslovakia bana! lakini ukifika pale nitaongea na wazembe wa uhamiaji wakuweke chini ya ulinzi mkali halaf wakulete huku shekoslovakia
Hehehehe nisahau kisa?Ng'ombe hajatoa maziwa mengi ametoa lita kumi tu, halafu kesho ndio naenda kwenye ile ishu halafu ole wako useme umesahau ni ishu gani..
Nitaichaji kwa betri ya gari kabisa...Hehehehe nisahau kisa?
Ukumbuke tu kuchaji kimeo chako.
Nitaichaji kwa betri ya gari kabisa...