Hivi ni muda gani ndiyo muafaka kwa....?

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Mimi ni wakati wowote tu nikijisia namwambia mwenzagu na libeneke linaendelea kama kawa. Lakini kuna wataalam wanasema upo muda wake muafaka. Wengine mnasemaje?
 
sijaelewa.....libeneke ndo nini? au unaongelea tendo la ndoa?mmmhhh:coffee:
 
wakati wote tu inamaana wewe huna kazi zingine za kufanya katika maisha. au na wewe ni baba wa nyumbani kama alivyo mkeo(mama wa nyumbani?
 
Mimi ni wakati wowote tu nikijisia namwambia mwenzagu na libeneke linaendelea kama kawa. Lakini kuna wataalam wanasema upo muda wake muafaka. Wengine mnasemaje?
wakati wowote ni wakati wa chai atiii. Chai haina muda maalum yakheeeee...
 
Mimi binafsi wakati narudi nyumbani nikifika karibu na home napiga simu kabisaaa ile maandalizi yafanyike. Nikiingia tu ndani cha kwanza ni alaji alaji alaji alaji...
 
Too much sex kills the eyes, most of the people unakuta hawana cha kuwaweka bzy mawazo yote yanahamia chini,15-20 min(romance inclusive) and 2-3 days a week is good for your health and relation..
 
Wakati wote jamani si itakuwa taabu sasa inabidi mpeane muda ili kila mtu amtamani mwenzake hasa kama mnaishi pamoja
 
Mkuu 'alaji' haina muda maalum... muda wowote mkiwa mko free unacheza tu, ili mradi isiingiliane na majukumu muhimu!!!!!
 
Wengine wakitoka job tu, anapiga simu hom akimtaarifu waifu ajiweke kifo cha mende mlangoni kabisa, na pembeni yake aweke ulabu
 
Mimi binafsi wakati narudi nyumbani nikifika karibu na home napiga simu kabisaaa ile maandalizi yafanyike. Nikiingia tu ndani cha kwanza ni alaji alaji alaji alaji...
<br />
<br />
duuu!ww noma mkuu,shemeji kazi anayo.
 
Mkuu any time ni tea time, itategemea na nafasi yako kibongo bongo tumezoea muda wa kulala na cha asubuhi
 
hapo sasa, kila mbuzi inabidi kwa urefu wa kamba yake.. mzigo ni mda wowote hasa ninapokuwa stressed ili kupunguza mastressez!
 
Kwa kweli sisi wenye watoto inakuwa ngumu, lazima uhakikishe kwanza wamelala au wameondoka, maana watoto bwana huwa kama wanataka sifa vile wakiona mmejifungia lazima wagonge mlango na shida zao za uongo uongo, wananiudhi!
 
hiyo kitu bana raha yake usiku kukiwa kumetulia, unaenjoy mpaka basi labda kama siyo mkeo ni wale wa muda tu ndo unaweza fanya hata mchana
 
Back
Top Bottom