Hivi ni Mizengwa, Mizengo au Mizengwe?

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
wadau kwa jinsi serikali yetu inavyoendeshwa nasindwa kuielewa. Je mkuu wa viranja anafanya kazi gani? Au ndio Mizengo na Mizengwe yenyewe? BoT wametumia 500ml kupiga picha, kauli ya serikali kuu juu ya hili ipo wap? Au ndio Mizengwe yenyewe hiyo? Aaah wananichanganya sana!
 
usiikosoe serikali utaambiwa unaichukia kwa sababu wewe si muislam so piga kimya.
 
Halafu haya ya Udini nayo yananichanganya, nitayasemea siku nyingine. Leo nisaidieni/tujadili hili la 500mls, je hiyo ndio mizengwe yenyewe!
 
usiikosoe serikali utaambiwa unaichukia kwa sababu wewe si muislam so piga kimya.

Ukiingiza habari za udini utapoteza maudhui ya muanzisha hii mada, hebu tuliangalie hili kama kweli linaendana na hali halisi au kuna watu wameamua kujinuifaisha.
 
Hii mizengwe itakwisha lin aisee? Wananchi masikini tunakufa!
 
Hivi hizi picha za Ml 500 ni picha za BINADAMU hawa hawa viongozi au PICCASSO (maana za huyu Piccasso huwa naona bei zake zinakwenda kwenye mamilioni ya Dola)...Maana sijui kama ni hawa VIBOSILE wetu wamepigwa picha hizo na MALAIKA nani aliyetoza hela kubwa hivyo kwa PICHA!!!!!!
 
Back
Top Bottom