Hivi ni lipi hasa kosa la Edward Lowasa? Naomba kufahamishwa!

Edo hana tatizo lolote ila wanamuogopa kuelekea uchaguz 2015 ndo wanampaka na matope ya ufisadi! EDO Mr Clean wa pili come 2015 for Presidency!
kalagabaoooh!
 
Naomba kuelimishwa waungwana!

Mkuu heshima yako.

Mimi naona waswasi wangu unaongezeka juu ya hili kundi linalotaka kumsafisha Edward Lowasa piga ua, ni kundi ambalo linajaribu kila kukicha kuweka hoja ambayo angalau inaweka nuru juu ya jina la Edo.

Mimi ni mmoja wa watanzania ambao tuliweka angalu matumaini kwamba EL atakuwa Sokoine wa pili hasa kuwa kuzingatia kwamba yeye na huyu Sumaye walionekana ni wachapa kazi hodari.

Lakini ilikuwa ni ndoto tu kwani marehemu Edward Moringe Sokoine ambae tuliona kazi yake miaka ya mwanzo ya themanini, alikuwa ni mtu wakee na sidhani kama atatokea mtanzania mwingine wa aina ya Edward Sokoine.

Ni kazi ya kujituma kuitumikia nchi yako, kutoa maamuzi magumu (kuwashughulikia wahujumu uchumi wa nchi ambao walianza kuitafuna nchi zamani tu) kuwa tayari kusimamia haki na kuwa tayari kushiriki mwenyewe shughuli za maendeleo ya taifa, na kuwa tayari kuinua uchumi wa nchi ambao kwa wakti ule ule ulikuwa ni mbaya sana.

Hayati mwalimu Nyerere alipokuwa akitoa sababu za kuondoa jina la EL kwenye orodha ya wagombea wa uraisi mwaka 1995, alisema kwamba EL si mtu anaefaa kuwa raisi wa nchi kwa sababu alikuwa tayari ana utajiri amao ulikuwa ni zaidi ya mshahara wake akiwa ofisa wa ngazi za juu serikalini na kwamba majina ya wagombea hayakuwa yakihitaji sura fulanifulani.

BM alipochaguliwa kuwa raisi akamkumbuka EL na kumpa uwaziri na EL akatumia nafasi vizuri kufanya aliyoyafanya hasa pale ARDHI na kuna mwenzetu mmoja amekwishasema hapo juu, si unakumbuka sakata ya viwanja vya mnazi mmoja?

Mwaka 2005 Mheshimiwa Kiwete akamteua mara moja kuwa Waziri Mkuu na huo ndio ukawa wigo moana wa EL kufanyizia kila kitu. Lakini ukweli kuhusu EL halisi ulijitokeza kupitia RICHMOND na hio ilikuwa ni ndani ya miaka mitatu tu.

By the time anajiuzulu na kulihutubia bunge mwaka 2008 nilipomtazama na kumsikiliza EL alikuwa akionekana ni mtu mwenye kutojiamini na rahisi kushawishika na hio ilikuwa ni hotuba ya kutaka kusema kwamba bado nina nia ya kuongoza na kuhakikisha anatimiza malengo yake ya kujitosheleza yeye binafsi na kusahahu watanzania wenzake.

Unapojiuzulu hupaswi kujaribu kutoa hotuba bali unakaa pembeni ili utafakari kile kibaya ulichofanya hasa UFISADI na pia hupaswi kuhojihoji wachunguzi hasa ile tume iliyoundwa kuchunguza suala la RICHMOND. Kitendo cha kujaribu kufuatilia uchunguzi wa tume kulithibitisha nia na malengo ya EL na ambayo yanajulikana kwamba ni ubinafsi na tamaa ya madaraka.

Kizuri zaidi ni kwamba mkuu wa kaya amemuacha EL akihangaikahangaika kujaribu PR nyingi tu kujisafisha na yeye JK asiseme kitu hiyo niishara kwamba hata JK haoni sababu ya EL kugombea uraisi mwaka 2015 akiwa ana umri wa miaka 62.

EL aliposhughulikia suala la RICMOND alikuwa akifahamu kwamba alikuwa akilitumbiza taifa katika matatizo makubwa kiuchumi na alikuwa hajali jambo hilo. Hapa tunazungumzia mamilioni ya kodi za wananchi ambazo zingekenda kufanya shughuli za maendeleo hata kununua vitanda vya hospitali amabzo baadhi bado zina wagonjwa wanalala chini.

EL hafai kuwa raisi wa Tanzania na kama akichaguliwa basi watanzania tunaendeleza ujinga.
 
Na wewe tuambie kwanza umaskini tulio nao tumeupataje?

I have never heard a more spurious question like this one! Kwa mtazamo wako, mtu anaweza akafanya ufisadi, wizi na similar criminal offences ili awe maskini??
 
pole , umebwia kwenye dimbwi la kutokufahamu, kosa la lowassa ni kufanya kazi kwa bidii na hivyo kumu outshine boss wake, na kama matokeo ya hilo wapambe wakiongozwa na membe na zoka wakamtaarifu rais kuwa lowassa anajiandaa kugombea 2010 kukuangusha, rais akaogopa akamtengenezea lowassa mtego kwa ahadi kemu kemu na mwisho akamtosa. MEMBE NA ZOKA WABISHE HAPA, AU MMM AMBAYE NI SWAHIBA MKUBWA WA MEMBE ABISHE HAPA, ANAJUA A TO Z NA NDO SABABU ANAMPIGIA MEMBE KAMPENI KUPITIA JF
.
siku zote mwembe wenye matunda ndio unaopigwa mawe...... lowassa atabaki kuwa lowassa hata mumpige fitina vipi ukweli uko wazi hamumuwezi hata kidogo na wanachi sasa wanajua kumbe alipigwa zengwe tu baada ya kuona ni mchapakazi na mtu asiyeteteleka na mwenye maamuzi sahihi.
hao kila zito,slaa,sita etc waliosema fisadi hao hao ndo leo mitambo ile ile wamekuja kuomba inunuliwe na sasa inazalisha umeme kwa jina jipya la symbion .... acheni majungu ... lowassa ndio mkombozi aliyebaki jembe la ukweliiii mtapayuka sasa na ukweli tayari sasa amewashika pabaya na mtaongea sana....
 
naona umepiga porojoo tu za m4c maneno herufi nyingi ..hakuna ushahidi wa kumjibu mtoa hoja...
 
Assuming you meant to write "wananchi", who are they, hao wanaojua sasa kuwa "kumbe alipigwa zengwe tu"? Lowassa alikuwa mtu asiekuwa na utajiri wowote kabla hajapata kuwa mtumishi wa umma. How comes now he is filthly rich?
 
pole , umebwia kwenye dimbwi la kutokufahamu, kosa la lowassa ni kufanya kazi kwa bidii na hivyo kumu outshine boss wake, na kama matokeo ya hilo wapambe wakiongozwa na membe na zoka wakamtaarifu rais kuwa lowassa anajiandaa kugombea 2010 kukuangusha, rais akaogopa akamtengenezea lowassa mtego kwa ahadi kemu kemu na mwisho akamtosa. MEMBE NA ZOKA WABISHE HAPA, AU MMM AMBAYE NI SWAHIBA MKUBWA WA MEMBE ABISHE HAPA, ANAJUA A TO Z NA NDO SABABU ANAMPIGIA MEMBE KAMPENI KUPITIA JF
Huwezi kutuaminisha huo upuuzi wako. Nani asiyejua ni fisad? Hata watoto aw chekechea wanalijua Hilo.
 
naona umepiga porojoo tu za m4c maneno herufi nyingi ..hakuna ushahidi wa kumjibu mtoa hoja...

Niliwahi kuzungumzia kuhusu vikaragosi na utendaji wao wa kazi zao. Lakini vikaragosi wana udhaifu mkubwa kiutendaji maana ni lazima mikono yao itumiwe na master ili icheze.

Nafikiri wewe ni mmoja wao.

Soma tena hilo ingizo langu.
 
Kujidai akiwa Rais ndipo ataweza kutatua taizo la ajira, wakati hata jimboni kwake kuna vijana kibao hawana ajira. Anashindwa nini kufanya maamuzi magumu ili atengeneze walau ajira 1000 jimboni kwake?
 
Heri ya hao wezi kuliko Vasco da Gama

You are making incompatible comparisons - you better know that the incumbent is on exit and we are looking for the replacement! Please make a case in view of future rather than the comparison of RED vs Green ....! It is the fate of Tanzanians that you are making a joke with........ in a serious note president is a custodian of all our resources and for this reason the issue of his integrity needs to be not questionable and a foremost importance!

We should not discuss names we rather focus on the qualities of the next president who will take us to the next level after the incumbent!

It is very sad to see those charged with governance are not taking care this very sensitive part of governance to influence the directions and perceptions of political leaders and general wananchi towards ethics and integrity in leadership! Very unfortunate! very sad for governance agencies to fail to deal with corruption which is the root of likely instabilities as I foresee!

God Bless Tanzania!
 
Aliijua vema richmond kuwa ni feki, lakini aliibariki. ni ngumu sana kumwamini EL. Ana doa lisilofutika hata kwa jiki.
 
Lowassa mwizi na fisadi mkubwa!! Hafai kuwa rais wa nchi hii hata kidogo. There are many people to lead this country, not necessarily him. Kwanza hakuna mahali popote ameshajisafisha au kusafishwa kwa ufisadi wake. Hivi ile kauli ya Nyerere ilishasafishwa wapi na nani? Ufisadi wake wizara ya ardhi na mifugo (pay back ya sehemu ya mafungu ya bajeti kwenye taasisi) je? Richmond?, Zile 20 bilion plus alizohamisha nje ya nchi mara alipoondolewa uwaziri mkuu je? etc. Hapa hakuna anayemuonea kwa lolote! Hatufai, period. Kama kuna wanamwona anafaa, wakapige nae picha au waanzishe VICOBA yao, Lowassa awe mwenyekiti wao na kamwe si urais wa nchi hii.
 
Hakuwa na kosa lolote. Alijiuzulu kuwajibika kwa makosa ya mkubwa wake. Si alishasema hadharani kuwa hakuna kitu alichofanya bila maelekezo ya bosi wake? Je bosi wake ameshakanusha? EL ni mchapakazi hodari.
Kujiuzulu ni kukiri kosa,hilo la kuwajibika kwa makosa ya mkubwa wake ni kosa pia kwasababu hakuna ushahidi ya kwamba alifuata maelekezo ya mkubwa wake.Kama ni kujiuzulu,angefanya hivyo kwasababu anapingana na maelekezo yenye kulihujumu Taifa.Yeye kama alikuwa mshauri,halafu ushauri wake ukakataliwa,na endapo ana mapenzi na Taifa letu,basi angejiuzulu na si kusubiri hadi kisanuke.Hilo limeonyesha upungufu mkubwa sana wa kiungozi na uzalendo kwa Taifa.Simple!
 
Looks like humjui Lowassa na kama unamjua, basi utakuwa unafaidi au unataka kufaidi kutoka kwake. How is this guy clean by the way!! Kama kiongozi anaweza kuchukua mashine ya kufulia nguo za wagonjwa iliyotolewa kama msaada hospitali ya Mkoa Mount Meru akshirikiana na Kinana mwaka 1993, huo u-clean unatokea wapi? He is not patriotic na mimi nitashangaa sana watanzania kumpa urais mtu ambaye hata marehemu baba wa taifa alimwona hafai. What makes him clean today while the history tells us otherwise. Wakati akiwa Waziri wa ardhi alijigawia ardhi kila kona, tena ikiwa ni sehemu ya miradi ya serikali. Sisi hatukatai rais wa nchi kuwa na utajiri ila utajiri wake awe ameupata kwa njia halali, awe na integrity, etc. Marekebisho ya katiba ya sasa lazima yawe wazi kuhusu hili. Rais akiingia madarakani, awe assessed in terms of intergrity, uhalali wa kile anachomiliki, vision yake kuhusu maendeleo ya nchi na record ya utendaji. Asiwe pia na kinga ya kushtakiwa pale atakapokuwa amekwenda kinyume na matarajio ya watanzania - ufisadi, uvunjifu wa haki za binadamu etc. Integrity ya Lowassa ni very low na ana historia ya kutumia madaraka vibaya kwa faida binafsi, etc. Let's think alound on where we want to take this country!! Si kwa kulinda maslahi ya watu wachache (Lowassa and the group). There have been good leaders in this country with very good reputation, if one wants I can mention!!
 
Naomba kuelimishwa waungwana!
Umejiunga May 2012 na umeshapata like 10,hongera.Hii inaonyesah ni mchangiaji mzuri. Kwanza nakushauri utafute uzi unaohusiana na aliyekuwa katibu binafsi wa Nyerere amabye ameandika vizuri matukio ambayo yanaweza yakakupa picha ya EL. Jambo la pili tafuta kumbukumbu zozote zinazohusiana na Kasbfa ya Richmond na baada ya hapo tafuta watu walioshi na kufanya kazi la EL either Monduli na AICC: Kuna mengi yanahusiana na Richmond na kuna fununu ya kuwa aliwajibika ili kumlinda swahiba yake na hili lilijionyesha tena katika mkutanoa CCM Dodoma ambapo alisema yasiyostahili kusemwa kuhusu JK. Kwa ufundi EL ni mchapa kazi,haogopi kufanya maamuzi lakini ana tamaa mno ya mali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom