Hivi ni lini tutaanza kuipenda lugha yetu ya kiswahili?

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Photo0234.jpg

POLICE LINE DO NOT CROSS!!!
 
Unafikiri hao waliongia ndani walifanya hivyo kwa vile iliandikwa kwa Kiingereza?
 
Kusema ukweli mi nadhani ni kampuni yenye kumiliki hiyo lorry ndio iliweka huo utepe (kwa kununua wanako nunua safety equipment zao). Hizo Kampuni zina fata safety and security procedures ambazo hata polisi wetu hawafati. They are not very compliant but they are better.
 
  • Thanks
Reactions: EMT

binti, hivi ni kweli raia wa kawaida unaweza kumiliki hizo nyaraka zilizoandikwa police hapa tz? wacha urongo
 
Back
Top Bottom