Hivi ni lini Rais kikwete alipanda meli/boti kwenda Zanzibar?....Nauliza tu wandugu....

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Tumeona rais wa Ujerumani leo amepanda boti kwenda Zanzibar, je ni lini rais wetu aliwahi kupanda boti kwenda visiwani humo?
Nauliza tu wandugu.
 
Angepanda mngesema anajikosha.

Hata hivyo kwani safari zote za Kikwete huwa unazimonita wewe?

Mara ngapi anapanda Treni? Jifunzeni kukubali na kuthamini vya kwenu, halafu sio kila kitu kikifanywa na Rais wa nje na Rais wetu lazima afanye! Acheni ulimbukeni!

moro7.jpg
 
Kisafiri kwa boti alikofanya rais wa ujerumani ni tofauti na hizo picha zenu za kikwete akizindua vivuko na kukua treni
 
Nimekusoma Mkuu. Ukweli haujifichi! Asante sana kwa kuweka kumbukumbu sahihi!

Jibuni swali la msingi. Wekeni picha za Kikwete kupanda boti kwenda Zanzibar, siyo mnatuwekea picha za Mv magogoni jamaa akivuka kwenda Kigamboni.
 
Kisafiri kwa boti alikofanya rais wa ujerumani ni tofauti na hizo picha zenu za kikwete akizindua vivuko na kukua treni

Hawa wana CCM wanatoka uharo hapa. Badala ya kujibu swali la msingi wao wanatuonyesha picha za Kikwete kwenda Kigamboni, sijui kwenye treni. Watuweke picha za huyu JMK kwenda zanzibar kwa boti.
 
Unajua wajinga wengine wakisikia Rais wa Ujerumani wanadhani kwamba ki protocol wako hadhi sawa na Rais wa Tanzania.Rais wa Ujerumani ni ceremonial president hana power zozote za kiutawala. Kwanza kuwalinganisha ni makosa kabla ya hayo mengine.
 
Back
Top Bottom