Elections 2010 Hivi ni kweli?

YALILA CHIEF

Member
Oct 28, 2010
12
0
Chenge yupo sahihi katika tuhuma zake dhidi ya Sitta?Kama wagombea nafasi ya spika ni hao wawili,kura yako ungempa nani?mie ntakuwa msimamizi wa uchaguzi huo!
 
Inawezekana kura za spika nazo zikachakachuliwa? Kama inawezekana, basi Chenge kashinda.
 
Sitta kasema anatuachia sie tupime kama alosema chenge ni busara au la, chenge ni aibu kwa kikwete na CCM
 
Mi simpendi chenge akipita tuu natafuta uraia wa nchi nyingine hiv ule wa nchi mbili si upooo!
 
Mi simpendi chenge akipita tuu natafuta uraia wa nchi nyingine hiv ule wa nchi mbili si upooo!

Sina hakika na hiyo RED hapo juu mkuu, labda tu utafute uraia wa nchi nyingine na kuukana utanzania. Nchi yetu yenyewe naona hata haieleweki. Lakini ni jukumu letu kupambana, kuna siku mafisadi hawa wtaikimbia nchi wakaishi huko walikoweka vijisenti vyao!!
 
Hivi Chenge si aliua wanawake wawili mwaka jana? Jamaa ana guts kugombea uspika. Roho za hao akina mama zitamsumbua sana.
 
Back
Top Bottom