Hivi ni kweli??

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Bado niko njia panda kuwa je ni kweli wanawake wanaona aibu kuelezea shida zao hadharani zaidi ya wanaume kwa nyakati hizi? Je, ni kweli wanaume wana wivu wa asili zaidi ya wanawake?

Ukiangalia katika mada nyingi za kutafuta wapenzi, wanaume ndiyo watumaji wengi zaidi ila kulingana na sensa inasema wanawake ni wengi zaidi ya wanaume hapo nabaki njia panda kuwa wanaume ndio wahitaji zaidi wa wapenzi au la,

pili ukiangalia katika watu wanaowakatisha tamaa wenzao pindi watumapo mada zao,wanaume ndio wanaongoza kuwakejeli wenzao,kuandika utani n.k je chanzo ni wivu au ni upeo mdogo?
 
hii ni ya kitafiti zaidi...fanya hivyo kisha utupe majibu...kila la kheri!
 
Back
Top Bottom