Elections 2010 Hivi ni kweli wapambanaji wananunuliwa?

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Kumekuwa na uvumi kuwa wapinzani ambao wameshinda wamekuwa wakiahidiwa pesa kabla ya kutangaza matokeo ili wauze kura zao.....hili jamani linanipa shida sana....je ni kweli wanahongwa hizo pesa na CCM?
 
My dia... wapo, na hao tunaita mamluki, political prostitutes au mapandikizi... luckily so far ni Mbatia peke yake

Na ndie anayeharibu uchaguzi wa kawe na kumnyima dada yetu nafasi
 
Back
Top Bottom