Hivi ni kweli wanawake wanaonyonya vidole huwapagawisha sana midume?

Hahah... thanks sikonge, hii ni dhalilisho aisee,

yani nimeangalia picha naona dada anayenyonya kidole kalegeza macho na hayupo kabosa bungeni, na huyo mwingine naona keshamaliza kunyonya kidole... BALAAH

Imagine wako mia bungeni hao wa vitu maalum, hapo anasubiri kikao kiishe aendelee kunyonya kidole

hahaaa yaani bunge likiisha sasa ni kunyonya madole mpaka ya miguuni.....Mwe wabunge wetu hawa kazi ipo
 
kila kitu ni imani yako..........

ukiamini wenye mwanya.......
wenye matege
wenye kithembe
the list goes on...........
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom