Hivi ni kweli wanawake wanaonyonya vidole huwapagawisha sana midume?

Kama huyu dada wa Viti Maalumu siyo?

Kweli Bungeni watu wanauza SURA na kutangaza biashara :)

VitiMaalum-Bungeni_kusinzia-1.jpg

Hahah... thanks sikonge, hii ni dhalilisho aisee,

yani nimeangalia picha naona dada anayenyonya kidole kalegeza macho na hayupo kabosa bungeni, na huyo mwingine naona keshamaliza kunyonya kidole... BALAAH

Imagine wako mia bungeni hao wa vitu maalum, hapo anasubiri kikao kiishe aendelee kunyonya kidole
 
Kuna kula kucha na kunyonya vile..... ni vtendo vinavyolandana... fafanua plz!!
 
Hizi ni elimu mpya kwangu nafungua akili nizisome vema. Kwangu mwanamke ili awe considered kwa relationship, naangalia shape kwanza....then, akili kama itatokea kutapa fursa ya kuongea, maana wengine wana sura nzuri, ila ukikaa naye haichuku hata dakika moja kutaka kukimbia maana mdomoni zinatopa pumba tu.
Kwa bahati siku hizi nimeoa kwahiyo haya yote yamebaki hadithi tu, lol!
 
Kama huyu dada wa Viti Maalumu siyo?

Kweli Bungeni watu wanauza SURA na kutangaza biashara :)

VitiMaalum-Bungeni_kusinzia-1.jpg

Good representation of why the race to parliament is so tight! Kunyonya vidole, kulala na baadae kushangilia hotuba ikishakwisha, lol!
 
Aisee FL kila mwanaume ana vitu flani vilivompendeza mpaka atongoze mwanamke! Binafsi sipendi kabisa mishauo isiyo maana: kama mama Jr angekuwa na mashauzi ya kunyonya vidole walah nisingevutiwa naye!
Ila hii imani nayo imekaa kivingine: inamaana ukikiona ki-tineja kinanyonya kidole na kudeka unawaza kukagea mmpipi?...walah mna laana nyie. teh teh!
 
Nasikia eti wanawake wanaopenda kunyonya vidole huwapagawisha wanaume wakikutana nao hadi wanaume wengine huamua kuwatongoza hata kama hawakupanga.eti wanaume huzimika na unyonyaji wa hivyo vidole hadi akili zao zote kuamishia kwenye mapenzi.mie huwa sipendi hawa wanawake wenye akili timamu kunyonya vidole,ila kama ni kweli wanaume wanadata,itabidi nami nijifunze ati....!wapwa nisaidieni ili kama vipi nianze mazoezi mapema................!

Wanaonyonya kidole gumba sio wakali,ukimpata anaenyonya kidole cha mwisho hapo hamna usingizi.
 
Nasikia eti wanawake wanaopenda kunyonya vidole huwapagawisha wanaume wakikutana nao hadi wanaume wengine huamua kuwatongoza hata kama hawakupanga.
eti wanaume huzimika na unyonyaji wa hivyo vidole hadi akili zao zote kuamishia kwenye mapenzi.

mie huwa sipendi hawa wanawake wenye akili timamu kunyonya vidole,ila kama ni kweli wanaume wanadata,itabidi nami nijifunze ati....!

wapwa nisaidieni ili kama vipi nianze mazoezi mapema................!
Mbona hapo tuu haunyonyi vidole lkn unapagawisha watu?Sasa ukinyonya sindio catastrophe?
 
Ukitaka kupata minyoo, wee nyonya kidole...! Kunyonya vidole kunaleta minyoo sana kwani mara nyingi mtu hunyonya kidole bila kunawa mikono...! Pia, kunyonya kidole kwa mtu mzima ni ishara ya uchafu, immaturity au ina weza kuleta picha kwamba wewe ni taahira...! Be careful...!
 
Siyo lazima hivyo. Wengi wanaonyonya vidole ni kutokana kama hawakupata muda tosha wa kunyonya matiti ya mama yao wakiwa wadogo. Kwahiyo utaona wanaonyonya vidole wanazidi siku hizi kwa sababu mama wengi kwa sababu mbali mbali huachisha watoto kunyonya muda mfupi tu wengine miezi sita au chini, yaani miaka miwili ndiyo ya kawaida.
 
jamani mie nikiwa ktk mishemishe navyoionea kinyaa mikono yangu,yaani siwezi kula hata muhindi nikaushika bila kunawa coz naona nimegusa mibakteria kibao,sasa kunyonya tena vidole duu sitaweza,ila bado sijajua mtu mzima kama mie ninanyonyaje vidole.DUNIANI KUNA MAMBO.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom