Hivi ni kweli wanawake wanaonyonya vidole huwapagawisha sana midume?

Nasikia eti wanawake wanaopenda kunyonya vidole huwapagawisha wanaume wakikutana nao hadi wanaume wengine huamua kuwatongoza hata kama hawakupanga.
eti wanaume huzimika na unyonyaji wa hivyo vidole hadi akili zao zote kuamishia kwenye mapenzi.

mie huwa sipendi hawa wanawake wenye akili timamu kunyonya vidole,ila kama ni kweli wanaume wanadata,itabidi nami nijifunze ati....!

wapwa nisaidieni ili kama vipi nianze mazoezi mapema................!
FL1, kwani bado unatafuta? au ulishajiunga kwenye kile chama cha akina Teamo, so unatafuta MTAMA? ha haaaaaaaa
 
:becky::becky::becky::becky:!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

nauliza tu mwaya..
manake swaga nyingne mimi nilizan znaendana na umri eg kuvuta vuta majan...kusugua kisigno...kuvuta nywele.....sasa kumbe nyingne zi za kudumu? mweeeeeeeee kwa iyo dada zima unafuatwa na mkaka eg tutoke dina bas unaanza kunyonya nyonya nadole?????? au unayanonya km mkiwwa wawili? afu MINILdhani KUWA MTU MKUBWA ANAYENYONYA VDOLE,KUTAFUNA KUCHA UWAGA WANA TATIZO FULAN IVI LINATOKANA NA MAKUZI+MALEZ YAKE FROM 0-8 YRS ..kuna vtu vikimmis apa mtu anaendelea tu kunyonya kidole au kula kucha..
mweeeeeeee ushamba huu utaniua mwenzenu..pata pcha a lady kaulamaba fresh eg ofc dress afu anaanza kunyonya nyonya madole...lahhhaaaaaa!!!!!
 
kama yeye nanyonya dole, nanyasi kidogo, tampa dole kubwa bugia yote, kama pia tataka peleka konga pereka, segere
 
Inategemea, mimi binafsi napenda sana sanaa hiyo ya kunyonya vidole kwa mabinti!unyonyaji nao unatofautiana kati ya binti na binti!kuna unyonyaji ambao ukiuona tu unajua kabisa huyu atanifurahisha kwenye mapenzi na nitaenjoy!Isitoshe unapoona binti ananyonya kidole vizuri basi ina maana hata unapokuwa kwa sex, una uhakika propela yako itanyonywa kwa ufasaha na kwa skills za hali ya juu!!!

ahaahaa! Mwendawazimu weye!!
 
Sasa ukisikia wanaume wanapenda kitu ingine utaanza mazoezi? haya bana hapa ni vidole tu kina vingine vikubwa.....:hippie::hippie:
KIMEI..........itategemea hao wanaume wanapenda nini.kama ni kutetea penzi ntafanya mazoezi ati,kwani kunakinachoshindikana chini ya jua,especially kwenye kumfurahisha mpenzio!
 
Kama huyu dada wa Viti Maalumu siyo?

Kweli Bungeni watu wanauza SURA na kutangaza biashara :)

VitiMaalum-Bungeni_kusinzia-1.jpg
 
KIMEI..........itategemea hao wanaume wanapenda nini.kama ni kutetea penzi ntafanya mazoezi ati,kwani kunakinachoshindikana chini ya jua,especially kwenye kumfurahisha mpenzio!
haya bibie kamata hii hapa chini
The Following User Says Thank You to FirstLady For This Useful Post:

Kimey (Today)
 
Kama huyu dada wa Viti Maalumu siyo?

Kweli Bungeni watu wanauza SURA na kutangaza biashara :)

VitiMaalum-Bungeni_kusinzia-1.jpg

Hahahahaha huyo anae nyonya kidole alikunwa mno na kanuni za bunge alivyo kuwa anafundishwa spika na Tundu Lisu

Huyo mwingine anasinzia jana yake alijirusha mno Jide alikuwa anawarusha roho wabunge na Machozi bendi
 
Kunyonya vidole nisawa na style ya kula cone(kulamba,kunyonya au kutafuna).Men wanaopagawa na unyonyaji wa vidole ni wageni wa malove.Mbona hata wao walinyonya wakiwa watoto.Mi kiukweli napagawa na umbo na mapishi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom