Hivi ni kweli tunahitaji kila msaada?

ELFU-ONEIR

Senior Member
Jun 27, 2012
181
64
goli%2Bna%2Bvyandarua%2Bvyetu.....jpg


Miaka kadhaa iliopita tuliletewa msaada wa vyanarua ambavyo baada ya kugawiwa kwa mizengwe mingi ilikuja kuibuka kasoro nyingine kuwa vyandarua vile vingi vilikua vya futi 3 na nusu (3 1/2)
kiasi ambacho wengine iliwabidi wavitumie kufanya kama inavyo oekana pichani.

Kama haitoshi mara kwa mara tumesikia viongozi mbalimbali wakisaini mikataba ya kupokea misaaada kutoka nchi mbalimbali.

Mfano: juzi nilikua na rafiki yangu tukijadili hili na lile akaniambia akuwa kuna taasisi moja nyeti ya serikali imepokea vifaa vya technolojia kutoka nje ya nchi na mbaya zaid taasisi yenyewe inahusika na usalama. Sasa je hii sio kuiacha nchi uchi?

Kwasababu hata hao waliokuja kuifanyia configuration ni wageni. Sasa unyeti wa taasisi hio ukowap[i? Je kila msaada ulioko mbele yetu tunauhitaji?

Naomba kuwasilisha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom