Hivi ni kweli nyeti za mwanaume hupotea?

Karryma

Member
Jan 31, 2012
11
0
WanaJF, huwa kuna taarifa kwamba mme anaweza kutega
dawa kwa mkewe ili mwanaume yeyote atakayetaka kufanya naye mapenzi nyeti zake
zipotee kabla hajamwingilia mwanamke, au mwingine anaweza kumwingilia lakini
akanasa mpaka mwenye mke ategue huo mtego wa kichawi, je hiyo ni kweli? Maeneo
kama Tanga, Sumbawanga, n.k. hutajwa kuhusiana na hili. Naomba tusaidiane
jamani.
 
mimi ninachojua ni kuwa dushelele hukosa kabisa nguvu hata ya kusalimia japo kidogo
 
si zote hupotea
zile zenye jino kati ndo hupotea
kama vipi njoo nikuangalizie kama una jino
ili ujue kabisa kama yako inaweza kupotea.
 
Ukiacha uchawi kunamambo mengi tu ya kiafya yanayweza kuingilia utendaji kazi wa pennis. Iwapo unahofu ya kushikwa ama umechoka sana utendaji kazi unakuwa hafifi. Lakini pia magojwa ya moyo na kisukari yanapelekea hali hiyo.
 
he he he nilikuwa siamini hila kuna kademu flani nilikuwa naiba mwaka juzi kila tukitaka kusex mashine inagoma kusimama.mwisho wa siku kakanitukana kuwa mi si mwanaume wa kweli...sijui jamaa yake aliiwekea dawa??
 
Ha..ha..ha Nashukuru sina mchezo huo,jamani mnaopenda kuparamia wake za watu kakatieni 'Insurance' nyeti zenu,mambo ya ajali kazini hayo.
 
He he he
nicheke mie
heshima inashuka sana

itakuwa kashapakaza
dr chichi
si rizki
he he he nilikuwa siamini hila kuna kademu flani nilikuwa naiba mwaka juzi kila tukitaka kusex mashine inagoma kusimama.mwisho wa siku kakanitukana kuwa mi si mwanaume wa kweli...sijui jamaa yake aliiwekea dawa??
 
Kishirikina inawezekana ila kiuhalisia haiwezekani

aisee hebu niambie inafanyikaje hii, naomba utaraam, mimi nimechoka kuto.... Sanaaa nataka hiyo ili zipotee kabisaaa hapa nilipo nina watoto 5, sasa pesa zangu ntakula lini kama si kuishia kuwasomesha kila mwaka. Nisaidieni niipate hiyo wajameni.
 
Mtoa thread ya kunatana mwanaume na mwanamke hata mimi naijua ni kweli.

Laikni unatakiwa uwe na jambia, afu njoo kwemye pm takueleza ufanye vipi kuna siri ndogo sana.

Hiyo ya kupoteza tupu za kiume sijui na wala sijawahi kusikia.
 
Fazaa hiyo nimeona kwenye filam moja ya kinigeria lakini kiuhalisia sidhani kama nyeti inaweza kupotea na kurudi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom