Hivi ni kweli Mzamiri Katunzi Kang'olewa UUME na Wachina?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Habari zinazidi kuzagaa hapa dar kuwa yule Mfanyabiasha Tapeli wa kimataifa kakumbana na mkono wa wajanja pale Gwang Nsuu China kwa kumnyofoa uume baada ya kumtegea mtego!
Wanyetishaji wanasema kuwa mwaka jana jamaa aliwapiga changa la macho kwa kuwauzia dhahabu feke na kuchukua tsh milion mia sita!
Jamaa wa kichina kuona hivyo wakatulia kama mwaka hivi bila kumstua, kisha wakampigia simu nakumwambia kuwa kuna dili aende china na baada ya kufika wakalipiza yote!

Hii ni habari ya kijiweni japo huwa sipendi kuamini lakini naomba mwenye kujua zaidi juu ya hili atujuze!
 
Nionavyo mimi hii sio habari kwa ajili ya Great Thinkers.
Nashauri ibakie tu kuwa nyeti kwa hao wanyetishaji wake.

Naona kama haituhusu vile.
 
Mimi nadhani tufikie hatua sasa tuachane na habari kama hizi,maana jamaa hatusaidii kwa lolote lile ambalo linaweza kuwa msaada kwa wengine,kama kanyofolewa hizo nyeti ni yeye na wenzake na hata tukijua kuwa kanyofolewa haitatusaidia humu.
 
Anamuhimu gani huyu mtu mpaka tuna mjadili ???ila kama unataka kusikia redio mbao ni kwamba wachina hawakunyofoa ila walipiga shoti sehemu zake nyeti,ili jogoo asipande mtungi....
 
Ana umuhimu sana huyu mtu, maana antapeli wazungu, waarabu, waasia kila kukicha na kutuharibua jina la watanzania huko ughaibuni. Anaumuhimu kwa wasanii wa bongo kwni akipanda jukwaani anaacha laki tano wanapata suti............ Need to say more.
Anamuhimu gani huyu mtu mpaka tuna mjadili ???ila kama unataka kusikia redio mbao ni kwamba wachina hawakunyofoa ila walipiga shoti sehemu zake nyeti,ili jogoo asipande mtungi....
 
Mimi nadhani tufikie hatua sasa tuachane na habari kama hizi,maana jamaa hatusaidii kwa lolote lile ambalo linaweza kuwa msaada kwa wengine,kama kanyofolewa hizo nyeti ni yeye na wenzake na hata tukijua kuwa kanyofolewa haitatusaidia humu.
Sio kwamba ni vizuri ili kufundisha jamii kutokuwa na tamaa kiasi cha kuwa tapeli,na wenye tabia hiyo waiache mara moja? Nafikiri ni pity kwake lakini kwa jamii kuna elimu ndani yake.
 
Huyu jamaa hajanyofolewa nyeti ila, kauliwa nguvu za kiume,

Jogoo hawiki mpaka apige kidonge. Pia umaarufu wake ni mtu alieanza kasma tapeli wa madini ya copper na dhahabu fake, lakini sasahivi amekuwa karibu sana na wasomali wa alshabab ambao hupitishia hela zao kwake, na siku hizi hutapeli viwanya kwa ajili ya kujenga majumba kwa pesa chafu za alshabab,

Kwa hiyo mumfahamu mzamil kama gaidi hatari kwa usalama wa kenya na tz.
 
hizo taarifa umezitoa wapi??
source??

Hizo zoote ni tetesi,mwente uthibiyisho kwamba kanyofoliwa uume atueleze.Na atuambie alijuaje.
 
Mimi nadhani tufikie hatua sasa tuachane na habari kama hizi,maana jamaa hatusaidii kwa lolote lile ambalo linaweza kuwa msaada kwa wengine,kama kanyofolewa hizo nyeti ni yeye na wenzake na hata tukijua kuwa kanyofolewa haitatusaidia humu.
Ni nani ambaye habari yake ina umuhimu Hapa? Gadafi? Ana umuhimu gani
kwetu? Mugabe, Obama, Al shababb wote hao wana umuhimu gani kwetu?
Mbona tunawajadili? Mimi nafikiri kama unaona kitu hakina umuhimu kwako
ni bora ukae nacho kando maana kuna mengi sana hapa JF, na si kudharau
ambayo wewe hayakugusi. KAA KIMYA!
 
Back
Top Bottom