Hivi ni kweli Mbowe na Ndesamburo wanaidai pesa Chadema

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,889
32,289
Wana JF.
Kuna habari tumezisikia kupitia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania, kuwa Mwenyikiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakidai chama Sh. 188 milioni. aliongezea kununua vifaa, Bendera, Kanga, Kofia, Fulana, kwa ajili ya uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Na Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo anakidai chama Sh. 296 milioni, kwa ajili Helikopta zake zilitumika kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu mwaka 2010
 
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Nadhani umesikia vibaya tune vizuri radio yako maana habari zenyewe zilikuwa hivi: Baadhi ya mabenki ya biashara nchini yanaidai serikali mamilioni ya fedha. Serikali ililazimika kukopa ili kulipa mishahara ya waafanyakazi huku majidiliano na Ankle Sam yakiendelea. Hata hivyo Ankle Sam katoa hela aprox Tshs 840 bilioni ambacho ni $80 less kuliko mwaka 2010.
 
Wamejitolea haiwaidai chadema!pia chadema haikuwa na utaratibu wa kuhonga fulana,kofia na chupi kwa akina mama,wasanii na wanafunzi wa shule kama ccm!wanachadema walijinunulia wenyewe vifaa vya kuvaa!HATA HIVYO MTU BINAFSI KUDAI NA KUDAIWA NI SEHEMU YA MAISHA,UBAYA NI NCHI KAMA TANZANIA KUDAIWA KWA PESA ZILIZOISHIA KWA MAFISADI!
 
Kwa nini upotoshe mada? Kama unajua kwamba wanadai au la sema. Kama huna cha kuchangia bado heshima yako itabaki pale pale mkuu!
 
yec ata yule wa arusha nae anadai milion 45 kukijenga chama arusha,nitawaletea barua yake kwa ushahidi.hawa wakishika serikali watalipana kwanza
 
Nipo Arusha ni yupi wa Arusha nae anakidai Chadema?,au ni story za kijiweni mkuu?
 
Kama umeskia ktk vyombo vya habari je habari hizo zinethibitishwa na uongozi ndani ya Chadema?,na hata Kama ni kweli ulikuwa unatakaje?
 
Vyombo vya habari vpo vya aina nying hata vjarida vya uvccm nivyombo lete ushahd wa chombo gan hasa kimerpot uzush huo
 
Kwa nini upotoshe mada? Kama unajua kwamba wanadai au la sema. Kama huna cha kuchangia bado heshima yako itabaki pale pale mkuu!

Wala sijaishiwa cha kuchangia. And if you read my comment more carefuly utaelewa point yangu and more importantly its 100% confirmed na sio tetesi "kupitia vyombo vya habari hapa Tanzania". Nimalizie kusema majungu na porojo kwa kisingizio cha habari kupitia vyombo vya habari hapa Tanzania is so low and ancient strategy to rely on I wonder where do you get the guts to write such a nonsese!
 
Tatizo la Pro Chadema-JF, mnamuona Dk Slaa na Mbowe kama vile Prophets, wasiguswe kwa chochote hawa ni binadamu kama mimi na wewe, jifunzeni kupokea challenge, nawapa Counsel wana Chadema punguzeni ushabiki wa Argumention
 
Wana JF.
Kuna habari tumezisikia kupitia kwenye vyombo vya habari hapa Tanzania, kuwa Mwenyikiti wa Chadema, Freeman Mbowe anakidai chama Sh. 188 milioni. aliongezea kununua vifaa, Bendera, Kanga, Kofia, Fulana, kwa ajili ya uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Na Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo anakidai chama Sh. 296 milioni, kwa ajili Helikopta zake zilitumika kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu mwaka 2010

mmmh!

nahisi saluni aloenda mkeo leo imejaa majimama yanayojadili waume za watu tu.
 
Wala sijaishiwa cha kuchangia. And if you read my comment more carefuly utaelewa point yangu and more importantly its 100% confirmed na sio tetesi "kupitia vyombo vya habari hapa Tanzania". Nimalizie kusema majungu na porojo kwa kisingizio cha habari kupitia vyombo vya habari hapa Tanzania is so low and ancient strategy to rely on I wonder where do you get the guts to write such a nonsese!

Gazeti la mzalendo 15 may 2011. hicho ni chombo kimojawapo kimetoa hiyo habari
 
CDM political doctrine: There is only one political GOD in Tanzania, that is WILBROAD and that FREEMAN is his prophet.
 
mmmh!

nahisi saluni aloenda mkeo leo imejaa majimama yanayojadili waume za watu tu.

Aloenda.. hili ni lichadema-kata la Tarime, kaka rudi shule kajifunze kuandika vizuri unaandika Crackpot
 
Wamejitolea haiwaidai chadema!pia chadema haikuwa na utaratibu wa kuhonga fulana,kofia na chupi kwa akina mama,wasanii na wanafunzi wa shule kama ccm!wanachadema walijinunulia wenyewe vifaa vya kuvaa!HATA HIVYO MTU BINAFSI KUDAI NA KUDAIWA NI SEHEMU YA MAISHA,UBAYA NI NCHI KAMA TANZANIA KUDAIWA KWA PESA ZILIZOISHIA KWA MAFISADI!

Mkuu, usiwe msemaji wao fanya kwanza utafiti kabla ya kusema
 
Sijaona point hapa, kama cdm inadaiwa na Ndesamburo na Mbowe, ubaya uko wapi? Au ndio mnapotezea tusahau mambo ya ufisadi wa EPA, Meremeta, Deep Green Finance, nk?
 
Back
Top Bottom