Hivi ni kweli marehemu baba wa taifa alikuwa hajui kuendesha gari

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
214
10
Wana JF Nimekuta watu wakiongea na kubishana kwamba Marehemu baba wa Taifa alikuwa busy sana kiasi kwamba hakupata muda wa kuweza kujifunza kuendesha gari,kwamba hadi mauti yanamkuta alikuwa hajui kuendesha Gari,(KUNA ANAYE JUA CHOCHOTE KUHUSU HILI)
 
Kwa mujibu wa waliokuwa karibu naye alikuwa 'dereva' mzuri sana. Sema labda kwa sababu alikuwa mtu muhimu mapema lazima haikuwezekana kuendelea kuendesha mwenyewe. Lakini pia sioni faida au hasara ya yeye kujua au kutojua kuendesha gari!! Au kuna mtu alitaka kumpa kazi ya udereva???? Maana vituko haviishi duniani!
 
Tatizo liko wapi? kuna marais wanaendesha ndege za kivita,,Gari kwako unaona ishu kubwa sana??
 
Kwa msongamano wa hapo Dar bora nisingejua kuendesha gari nikazoea baiskeli yangu.
 
Nini gari...! kiswahili kajifunzia ukubwani!!!

Wengi tumejifunzia ukubwani, hilo si la kutisha.
Gari kujua au kutokujua halikupunguzii au kukuongezea chochote hasa katika uwezo wa kupamabanua mambo aliokuwa nao ni zaidi ya yote
Mungu amlaze pema peponi
 
jamaa kauiliza...je mwalimu alikuwa anajua kuendesha gari?...uanahtaj kujibu hapo tu..acha longolongo
 
Wana JF Nimekuta watu wakiongea na kubishana kwamba Marehemu baba wa Taifa alikuwa busy sana kiasi kwamba hakupata muda wa kuweza kujifunza kuendesha gari,kwamba hadi mauti yanamkuta alikuwa hajui kuendesha Gari,(KUNA ANAYE JUA CHOCHOTE KUHUSU HILI)
Sijui chochote kuhusu hilo,ila nachokifahamu mwalimu aliwaendesha watanzania tena kwa spidi kweli mujini mpaka vijiji vya ujamaa.
 
Baba wa taifa alikua anajua kuendesha hii:
NYERERE0001small.JPG
 
Baba wa taifa alikua anajua kuendesha hii:
NYERERE0001small.JPG

nikiwa form three, kama head prefect wa shule moja hivi niliandika kwenye kitabu cha rambiramb

i yake

FAIRWELL PARTY OF THE GIANT:
At this corner I stand,​
To watch the people,​
In deep grief and sorrow,​
Crying and becoming unconscious,​
Their father has slept,​
For the eternal rest:​
He is just like smiling​
As if he wants to say;​
“Viva Africa and peace​
Be to its people”​
O kinsmen don’t cry! Be happy​
And celebrate,​
Kaunda, Mandela, Mkapa and all comrades,​
This is a farewell party:​
For the front-liners’ work is over,​
Remains is our task​
To restore our victory:​
“The giant has fallen:​
The nation​
Mourns”​
Rest in eternal peace,​
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere:​
Cc 1999​
( for the first president of Tanzania and founder of the nation, the late Mwalimu Julius Nyerere.​
may the lord God grant him eternal peace, Amen)​
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom