Hivi ni kweli kuwa...

KWa nn kuwe na chuki wkt mmependana? Sema ukweli mapenzi ya siku hizi yanaangalia mali juzi njiwa kapeperuka kwa vile sina garo umeona??? Huna kitu huna mpenzi mzuri.

Kwa nn kuwe na chuki wkt mmependana?
Kunakuwepo na chuki ndani ya mapenzi pale panapopungua attention baina ya wapendanao. Kunaweza kuwepo na sababu nyengine kama mabadiliko madogo madogo ya tabia ya mmoja wa wapendanao, hata mabadiliko makubwa kwa mfano udanganganyifu. Kwa hiyo, ijapokuwa bado unapenda, ghafla panafumuka chuki.

Sema ukweli mapenzi ya siku hizi yanaangalia mali juzi njiwa kapeperuka kwa vile sina garo umeona??? Huna kitu huna mpenzi mzuri.
Hapa tunakuwa hatuwatendei haki wale wanaopenda bila ya tamaa ya kitu pale tunapogeneralize kuwa siku hizi mapenzi yamekuwa mtaji. Siamini kuwa watu wote wa siku hizi wanapenda kwa pesa au tamaa ya kitu.

Kwa kiasi kikubwa ndivyo watu walivyoaminishana, ila sio ukweli kwa 100%.

Tuliopo kwenye ushindani wa kutongoza tunakupa data sasa utake usitake ndo ilivyo unakuta kajamaa kapo kapo ila kana hela ndefu mabinti wanakipenda balaa akitokea jamaa ake mzuri kamzimia binti anatka kuoa anakataa huku akijilengesha kwa mwenye hela.
 
Fidel inabidi ubadili gia na maeneo unayopata wa kuwatongoza aiseee. Bado wapo watu wasio na njaa na pesa za wanaume, na kwao mapenzi comes first.
 
Kwa nn kuwe na chuki wkt mmependana?
Kunakuwepo na chuki ndani ya mapenzi pale panapopungua attention baina ya wapendanao. Kunaweza kuwepo na sababu nyengine kama mabadiliko madogo madogo ya tabia ya mmoja wa wapendanao, hata mabadiliko makubwa kwa mfano udanganganyifu. Kwa hiyo, ijapokuwa bado unapenda, ghafla panafumuka chuki.

Sema ukweli mapenzi ya siku hizi yanaangalia mali juzi njiwa kapeperuka kwa vile sina garo umeona??? Huna kitu huna mpenzi mzuri.
Hapa tunakuwa hatuwatendei haki wale wanaopenda bila ya tamaa ya kitu pale tunapogeneralize kuwa siku hizi mapenzi yamekuwa mtaji. Siamini kuwa watu wote wa siku hizi wanapenda kwa pesa au tamaa ya kitu.

Kwa wale wanao jua kuwa upendo ni kipofu watakuwa wanaelewa ila kwa nyie mlio shawishwa na vitu vya nje ni ngumu kuelewa mtaandika weee ukweli unabaki pale pale
 
Fidel inabidi ubadili gia na maeneo unayopata wa kuwatongoza aiseee. Bado wapo watu wasio na njaa na pesa za wanaume, na kwao mapenzi comes first.

Tatizo mi nipo simple na nyie wanawake mkiambiwa ukweli mnakimbia mkidanganywa fasta nabeba mzigo naona sana nikitaka kukata kiu nadanganya na nina beba zigo la maana
 
Labda kwa vile mi ni mbaya ndio maana nilimpenda na kukubali kuolewa na mume wangu akiwa hana mali...

Sema ulimkubali akiwa hana mali.
Na hukuweka tamaa mbele za kisichana kama kusuka kimasai, kuweka weaving, kushonea wigi, lips kupanda tax na si bajaj au bodaboda n.k ungeweka hivyo mbele usingeolewa haya mambo ndo muwe mnawaambia wadogo zenu wa siku hizi
 
Naaaah, hapa hapana.
Ila naweza kukwambia ukweli kwamba kama ungekua na nafasi hata bila jivisenti ungenipata tu.

Mi nakupata kwa dagaa na mchicha tu senti sina za kukushawishi ila kwa mbogamboga
 
Back
Top Bottom