Sakata la mkutano mkuu wa CHADEMA kumvua madaraka yote ndani ya chama Mbunge wa Kigoma kaskazini mh Zitto Zuberi Kabwe,umepokelewa kwa hisia tofauti na Wananchi.
Kuna wanaodhani hakutendewa haki [Hawa ni wana Ccm].na kwamba huu ndio mwisho wa Siasa za Cdm ktk mkoa wa Kigoma.
Kuna wale wanaosema kuwa kuvuliwa kwa madaraka Zitto Kabwe ni tendo ambalo lilichelewa kufanyika.
Wapo wanaodai kuwa Mkoani Kigoma maandamano na uchomaji wa bendera za Chadema ilikuwa ikifanyika kila kona ya mkoa huo.
Gazeti la Uhuru linaripoti kwamba kila kona bendera za Cdm zilikuwa zikichanwa na kuchomwa moto!
Binafsi nikiwa km mwana CHADEMA siamini kuwa Kigoma ni ngome ya Chadema Kisiasa. Hii ni kutokana na kwamba CHADEMA ktk mkoa huo ina mbunge mmoja tu na Diwani mmoja tofauti na Nccr chenye Wabunge watano.
Wanaochoma bendera za Cdm sio wana chadema bali ni wana CCM walionunuliwa kufanya hivyo ili ionekane kuwa Cdm kwa Kigoma imechukiwa.
Zitto ndie mbunge pekee anaetokana na CDM ktk Mkoani Kigoma hivyo haingii akilini kusema kuwa Kigoma ni ngome ya Cdm!
Propaganda isipewe nafasi ktk hili kwani hata Zitto mwenyewe anajuwa kwamba ameshindwa kukijenga chama chake ktk mkoa huo na badala yake aliishia kujenga NCCR kwa sababu anazozijua yeye!