Hivi ni kweli jk ana huruma ya kweli au ni mnafiki tu?

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
JK DAIMA NI MWENYE HURUMA!

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia na kumsikiliza msichana mlemavu Joyceline Paulo huko Rusahunga wakati mgombea huyo aliposimama kuwasalimia wananchi na kunadi ilani ya CCM.Dr.Kikwete aliahidi kumpatia mlemavu huyo baiskeli maalumu ya matairi matatu ili aweze kumudu shughuli zake kwa urahisi zaidi.Dr. alikuwa njiani akitokea Ngara mkoani Kagera kuelekea Wilayani Kibondo mkoani Kigoma kwa barabara(picha na Freddy Maro)

Source: KAMANDA WA MATUKIO: JK DAIMA NI MWENYE HURUMA!
 
Huyo sio mlemavu tu! pia ni kada wa ccm huono alivyo vaa!.
 
Mnafiki tu! angekuwa na huruma asingekubali wafanyakazi wa Tanzania waishi kama wakimbizi ndani ya Taifa lao walilopewa ma mungu na kufikia mbali zaidi kwa kusema hataki kura zao, Huyu mkwere huyu, CCM inafia mikononi mwake and i bet he was the last president from CCM.
Simpendi!!!!
 
Back
Top Bottom