Hivi ni kweli? Cal. Gaddafi anaongea lugha ya KISWAHILI nzuri isiyo na mawimbiii???

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Wakati hbr ya mazishi ya Marehemu Cal. Mohamad Gaddafi pamoja na Mwane na waziri wake ikifanyika jangwani kusiko julikana,Kuna mabishano yanipata baada ya wadau niliokuwa nao wakisema ya kwa Gaddafi ni msemaji mzuri wa Kiswahili, na ndipo nikakataa katu katu na ndipo nikasema nipate uhakika humu. NAWAKILISHA KWA Wana JF!
 
hata kama aliongea kiswazi wewe inakusaidia nini, jamaa ni marehemu kwa sasa, malipo ni duniani, mbinguni ni kuimba haleluya tu kwa wale wateule wa bwana.
 
hata kama aliongea inakusaidia nini, jamaa ni marehemu kwa sasa, malipo ni duniani mbiguni ni kuimba haleluya tu.
wewe kama haujui ni bora ukae kimya,jamaa kauliza swali ambalo anafikiri litamsaidia_sasa kama haujui bora unyamaze kimya kuliko kutema mapovu yasiyo na maana.
 
wewe kama haujui ni bora ukae kimya,jamaa kauliza swali ambalo anafikiri litamsaidia_sasa kama haujui bora unyamaze kimya kuliko kutema mapovu yasiyo na maana.
tusibishane, alishapumzika kwa amani,
 
Na sisi watanzania tumezidi mno kujadili vitu visivyokuwa na tija.

Hivi hivi hata bungeni 'Namtambulisha mke wangu.' Hivi tuliwatuma huko kwenda kutambulisha wake zenu?

Kiswahili ni lugha tu, ajue ama asijue haikusaidii chochote. Mbona Rais Kabila anajua na hijakusaidia kitu. Kikwete ndo usiseme, lakini wapi UCHUMI ndo unaporomoka pamoja na kiswahili chake cha PWANI.
 
mimi sikumoja akiwa anahutubia umoja wa mataifa nilisikia alitaja neno la kiswahili ambalo kimantiki lili toholewa katika neno la ki Arabu neno lenyewe ni "yaani", ila kuana maeno mengne kama Kitabu, Shukrani pia labda mwarabu yeyote anaweza kuyasema na Mswahili akashtuka ila ki-asili ni maneno ya Kiaranu na yana maana ile ile kwenye lugha yetu adhimu ya Kiswahili
 
Mpwa kwa sasa huyu mtu ni marehemu! haisadii chochote tena, ila alitoa nafasi nyingi za wabongo kwenda kufundisha kiswahili Libya!
 
katika zile ndoto zake za kuwa Rais wa Afrika alijifunza ila ahskumu si matusi akhera imempenda zaidi si ajabu ataongea na Idd Amin huko si mbaya!
 
mimi sikumoja akiwa anahutubia umoja wa mataifa nilisikia alitaja neno la kiswahili ambalo kimantiki lili toholewa katika neno la ki Arabu neno lenyewe ni "yaani", ila kuana maeno mengne kama Kitabu, Shukrani pia labda mwarabu yeyote anaweza kuyasema na Mswahili akashtuka ila ki-asili ni maneno ya Kiaranu na yana maana ile ile kwenye lugha yetu adhimu ya Kiswahili

Nashukuru sana Kamanda wangu! Ila humu jamvini ni mahala pengine wenzenu tumeshapazoea kwa kupumzishia vichwa baada ya mzunguko wa kutwa yenye michosho mingi! Sasa m2 haujui kumjibu mwenzie kihivyo la kusikitisha ni lugha mbaya wadau wanayotumia. Hili linaniboa sana humu jamvini. Swali unauliza haujibiwi na unamkuta anayeangusha maneno mbovu mbovu naye hajui lakini anadiriki kuangusha kishwahili mbovu. Siyo issue! TUBADILILE WanaJF!
 
Acha kuongea tu! Ndio alikua Mswahili wa Kwanza kutawala Nchi ya Kiarabu.
Umeridhikaaa!!!
 
Gadafi mbona alikuwa mswahili pure yule.. alienda kenya miaka ya nyuma akawa anagonga kiswahili na machalii wa kule halafu anaongea kiswahili cha kisukuma kabisa
 
Acha kuongea tu! Ndio alikua Mswahili wa Kwanza kutawala Nchi ya Kiarabu.
Umeridhikaaa!!!

Mkubwa! Hilo la kuongea kwake lugha ya Kishwahili ndiyo ilikuwa sijui. Na usinikarapie Kamanda kwani USILOLIJUA NI KAMA USIKU WA GIZA. Thnkx!!
 
hebu muulize JK inaonekana hapa walikuwa wanaelewana vilivyo! 220px-Jakaya_Kikwete_and_Muammar_al-Gaddafi,_12th_AU_Summit,_090202-N-0506A-678.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom