Hivi ni kweli au naota tu!

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
teenager-pregnancy-test-sex-girl-female-335-121806.jpg

Toba yaillahi, mambo yeshaharibika!

 
Naomba niwe baba wa kupanga, tusaidiane kumlea au kuwalea ikiwa anavyosema Kaunga ni sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Naomba niwe baba wa kupanga, tusaidiane kumlea au kuwalea ikiwa anavyosema Kaunga ni sahihi.
Hebu subirini kwanza, msinichanganye, inawezekana hiki kipimo ni cha mchina, hakisemi kweli.
Nadhani hii ni ndoto tu na itaisha wakati wowote
 
Nimegundua baada ya oper Zinduna ana hamu kwwli ya mtoto sasa kama
Vipi nione maana nia proven record kina Erickb52 bado wadogo sana hawajui
 
Last edited by a moderator:
check na dr aliyekutoa kidole tumbo! yawezekana alivyokupa dawa ya usingizi, akaimuingiza juma mgunda! lol!
 
Back
Top Bottom