Hivi ni kweli Asali ya Tabora sio nzuri kiafya?

Asante wakuu.

Ngoja nimalize hii stock niliyonayo, sitaagiza tena.

Je ni asali ya wapi nitumie kwa hapa Tanzania? Mi ni mpenzi sana wa asali, ningependa nijue ili nianze kuagiza mapema kabla mzigo nilionao haujaisha.

Asali bora ni ya kutoka Nairobi au Arusha ambapo kuna maua natural na mengi ambayo nyuki hutoa necta huko.
 
Asante wakuu.

Ngoja nimalize hii stock niliyonayo, sitaagiza tena.

Je ni asali ya wapi nitumie kwa hapa Tanzania? Mi ni mpenzi sana wa asali, ningependa nijue ili nianze kuagiza mapema kabla mzigo nilionao haujaisha.
mimi ni dealer wa asali ya morogoro.....once you are in need,you may call 0789384100.....karibu
 
Back
Top Bottom