Hivi ni Kwanini? .........................sijui jibu

Basi ngoja nikugeuze vocha ya 500! Watu wakusugueee wee hadi wachoke

hahahah lol asante sana Rev
haya asante sana kwa maombi ya leo..
mi ngoja ni lale sasa
ili nipate nguvu mpya kesho za kuku................. amen.
good night ana thanx a lot mmmwwaaahhh
 
hahahahahhahah lol
hili kanisa letu hili
ni balaa tuu..
angalia hii Lizzy I am Full Time Alcoholic, Drugs and Sexy Addicts
eti hii ndo introduction ya Rev wetu..
kwa kweli nyote mnakaribishwa lol..

Mchungaji wetu huyu ni noma!!!Unaweza ukabadilisha dini usiposoma katikati ya mistari!!!!
 
hahahah lol asante sana Rev
haya asante sana kwa maombi ya leo..
mi ngoja ni lale sasa
ili nipate nguvu mpya kesho za kuku................. amen.
good night ana thanx a lot mmmwwaaahhh

Hiyo Mwaaa ni kwenye utosi ama ile yenyewe? Haya bwana acha nami nikawahi vikondoo vikorofi
 
Mchungaji wetu huyu ni noma!!!Unaweza ukabadilisha dini usiposoma katikati ya mistari!!!!

hahahahh lol
haya bibie
mi ngoja nianze kubusu mto sasa
asante sana kwa kuchat tutaonana kesho..
ngoja mi nikuache we na Rev mtunge nyimbo za jumapili..


thanx a lot
God Bless
mmmwwwaahhh
 
hahahahh lol
haya bibie
mi ngoja nianze kubusu mto sasa
asante sana kwa kuchat tutaonana kesho..
ngoja mi nikuache we na Rev mtunge nyimbo za jumapili..


thanx a lot
God Bless
mmmwwwaahhh

Lala salama mwaya......
 
Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo? Jiulize haya yanatutokea kila siku..

LAW OF QUEUE:

Ukibadilisha mstari unapopanga foleni bank, supermarket ama kwenye huduma ya foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.

LAW OF TELEPHONE:
Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy) unayoitafuta haipatikani

LAW OF MECHANICAL REPAIR:

Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza kuwasha ili uikune

LAW OF THE ALIBI:

Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari lako limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli, hata ukisingizia ugonjwa basi utaumwa kweli

BATH THEOREM:

Ukishaanza kuoga tu simu itaanza kuita

LAW OF ENCOUNTERS:

Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae

LAW OF THE RESULT:
Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako imeharibika ukiwasha itafanya kazi

LAW OF BIOMECHANICS:
Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale ambapo huwezi kujikuna, unaokuwa na watu basi utawashwa matakoni ama kwenye korodani ambako ni soo kujikuna.

THEATRE RULE:

Watu wanaokalia viti vizuri ndio wanaochelewa kufika

LAW OF COFFEE:

Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa ama chai yako basi bosi atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa/ chai yako ipoe.

Ama kweli NGOMBE WA MASKINI HAZAI

Je ni kweli jamani?????????


...Law of urination:- Ukitoka home tu na kuingia main road, unaanza kuhisi mkojo kwa sana! Mkuu, bongo kuna watu wanapewa u-Dr ilhali hawajafanya lolote, kwa kazi kubwa kama hii, kwanini usiitwe Pro. Masanilo?
 
...Law of urination:- Ukitoka home tu na kuingia main road, unaanza kuhisi mkojo kwa sana! Mkuu, bongo kuna watu wanapewa u-Dr ilhali hawajafanya lolote, kwa kazi kubwa kama hii, kwanini usiitwe Pro. Masanilo?

Nilikuwa sijaiona hii hahahahaahha wacha kina Kikwete wawe madokta! Mimi nibakie Rev Masa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom