Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni Kwanini? .........................sijui jibu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Masanilo, Dec 17, 2010.

  1. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #1
    Dec 17, 2010
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,324
    Likes Received: 108
    Trophy Points: 160
    [FONT=&quot]Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo? Jiulize haya yanatutokea kila siku..

    LAW OF QUEUE:

    Ukibadilisha mstari unapopanga foleni bank, supermarket ama kwenye huduma ya foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.

    LAW OF TELEPHONE:
    Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy) unayoitafuta haipatikani

    LAW OF MECHANICAL REPAIR:

    Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza kuwasha ili uikune

    LAW OF THE ALIBI:

    Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari lako limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli, hata ukisingizia ugonjwa basi utaumwa kweli

    BATH THEOREM:

    Ukishaanza kuoga tu simu itaanza kuita

    LAW OF ENCOUNTERS:

    Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae

    LAW OF THE RESULT:
    Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako imeharibika ukiwasha itafanya kazi

    LAW OF BIOMECHANICS:
    Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale ambapo huwezi kujikuna, unaokuwa na watu basi utawashwa matakoni ama kwenye korodani ambako ni soo kujikuna.

    THEATRE RULE:

    Watu wanaokalia viti vizuri ndio wanaochelewa kufika

    LAW OF COFFEE:

    Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa ama chai yako basi bosi atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa/ chai yako ipoe.

    Ama kweli NGOMBE WA MASKINI HAZAI

    Je ni kweli jamani?????????

    [/FONT]
     
  2. afrodenzi

    afrodenzi Platinum Member

    #2
    Dec 17, 2010
    Joined: Nov 1, 2010
    Messages: 17,511
    Likes Received: 1,247
    Trophy Points: 280
    hahhahhahhah Rev leo umeniacha hoi..
    Duhh hii ni kweli asilimia mia ya mia..
    mmmhhh yaani hayo mambo yote yanatokeaga sana .mmmhh
     
  3. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #3
    Dec 17, 2010
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,324
    Likes Received: 108
    Trophy Points: 160
    Leo umenipa Thanks lazima nitaokota hela

    The Following User Says Thank You to Rev Masanilo For This Useful Post:

    afrodenzi (Today) ​
     
  4. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #4
    Dec 17, 2010
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,324
    Likes Received: 108
    Trophy Points: 160
    Leo asubuhi imenikuta hii

    [FONT=&quot]BATH THEOREM:
    Ukishaanza kuoga tu simu itaanza kuita[/FONT]
     
  5. Pelosi

    Pelosi Member

    #5
    Dec 17, 2010
    Joined: Jul 22, 2010
    Messages: 83
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 13
    LAW OF QUEUE:
    Ukibadilisha mstari unapopanga foleni bank, supermarket ama kwenye huduma ya foleni ule uliouacha unakwenda mbio zaidi.

    LAW OF ENCOUNTERS:
    Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae

    Hizi zimeshanitokea mara nyingi sana....
     
  6. Dena Amsi

    Dena Amsi JF-Expert Member

    #6
    Dec 17, 2010
    Joined: Aug 17, 2010
    Messages: 13,132
    Likes Received: 192
    Trophy Points: 160
    Haha hiyo kweli asilimia mia Rev tena hiyo ya kuoga na simu ndo usiseme
     
  7. L

    Lady JF-Expert Member

    #7
    Dec 17, 2010
    Joined: Apr 12, 2010
    Messages: 277
    Likes Received: 7
    Trophy Points: 0
    Hahahahaha! Rev. hayo uliyoyasema mengine yana ukweli!
     
  8. Eng. Smasher

    Eng. Smasher JF-Expert Member

    #8
    Dec 17, 2010
    Joined: Nov 13, 2010
    Messages: 746
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Rev hizi hapa chini sio kweli esp inayonihusu LAW OF RESULTS labda mashine yako iwe haijaharibika mkuu!!
    Hiyo ya cahi labda kwa wanaofanya kazi za u mesenja mkuu!!
    Hiyo ya Simu kidogo huwa inatokea!

     
  9. I

    Ikunda JF-Expert Member

    #9
    Dec 17, 2010
    Joined: Jul 12, 2010
    Messages: 721
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    hahahahahahahah ivi Rev umewaza nini??? ila kuna ukweli hapo
     
  10. Fidel80

    Fidel80 JF-Expert Member

    #10
    Dec 17, 2010
    Joined: May 3, 2008
    Messages: 21,983
    Likes Received: 46
    Trophy Points: 145
    Na hata akizaa atazaa dume lisilo na faida
     
  11. sulphadoxine

    sulphadoxine JF-Expert Member

    #11
    Dec 17, 2010
    Joined: Nov 1, 2010
    Messages: 2,265
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 135
    yote yana ukweliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
     
  12. myao wa tunduru

    myao wa tunduru JF-Expert Member

    #12
    Dec 17, 2010
    Joined: Mar 9, 2010
    Messages: 614
    Likes Received: 8
    Trophy Points: 0
    hivi ni kweli pia kama una tumbo la kuendesha ukikaribia mlango wa msalani kasi ya usumbufu wa kubwa kutaka kutoka inazidi?
     
  13. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #13
    Dec 17, 2010
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,324
    Likes Received: 108
    Trophy Points: 160
    Kumbe ndo maana huwa hupokei simu! Dawa yake nenda nayo bafuni, ama unawasi wasi simu ya mchina itakubaka?
     
  14. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #14
    Dec 17, 2010
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,324
    Likes Received: 108
    Trophy Points: 160
    Mpwa hujui Madume ndiyo huendeleza kizazi? Na hata likichinjwa nyama mingi
     
  15. Fidel80

    Fidel80 JF-Expert Member

    #15
    Dec 17, 2010
    Joined: May 3, 2008
    Messages: 21,983
    Likes Received: 46
    Trophy Points: 145
    Sasa mpwa fikiria unakuwa na mijogoo 10 alafu tetea 2 panakitu hapo?
     
  16. B

    Bi. Mkora JF-Expert Member

    #16
    Dec 17, 2010
    Joined: Oct 29, 2010
    Messages: 375
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 33
    Rev. Masanilo umenifurahisha sana Ijumaa ya leo. Big Up!!
     
  17. bacha

    bacha JF-Expert Member

    #17
    Dec 17, 2010
    Joined: Aug 19, 2010
    Messages: 4,339
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 135
    ukiwa unaumwa una matatizo ya kikohozi, kinaweza kisikusumbue pindi unapokuwa peke yako lakini ukiwa kwenye mkusanyiko wa watu tu kinachachamaa balaa!
     
  18. TIMING

    TIMING JF-Expert Member

    #18
    Dec 17, 2010
    Joined: Apr 12, 2008
    Messages: 21,798
    Likes Received: 45
    Trophy Points: 145
    i guess this is one of the best fridays aisee

    :redfaces:
     
  19. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #19
    Dec 17, 2010
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,324
    Likes Received: 108
    Trophy Points: 160
    Unaweza kuwa na appointment na watu wakubwa sana kwako, na siku hiyo unataka uwaimpress, basi tumbo litaunguruma ile mbaya, hii itakukosesa hata amani! Ukimalizana nao tu tumbo haliungurumi tena. Kwanini jamani?
     
  20. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #20
    Dec 17, 2010
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,324
    Likes Received: 108
    Trophy Points: 160
    Mijongoo mingine itaamuwa kuwa GAY
     
Loading...