Hivi ni kwanini kila kijichama kinachoanzishwa kinapata tuition kwa ccm?ili kupambana na chadema??

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
293
Watanganyiki nasikitika sana kila leo utasikia kuna chama kipya na hii yote ni kwamba vinazaminiwa na CCM Magamba ili kuvuruga jitihada za kukomboa nchi hii mikononi mwa hawa MAGAMBA,hivi naajiuliza mara kwa mara hawa watu tena wanajiita ati waanzilishi wa chama fulani kama hiki kinaitwa sijui CHAUMA sasa jamani haa watu siwamepewa kitu kidogo dogo na MAGAMBA maake hata week hajaisha wamekuja na kusema CHADEMA ni chama cha kikanda na kikabila sasa hapa ndio zile zile tuition za MAGAMBA ndio zimetake place duuh kweli nchi hii imeoza lakini nataka kuwaambia hawa watu hakuna chama kingine zaidi ya CHADEMA ambacho kitabadilisha nchi hii mkubali mkatae nafahamu ZOMBA atabisha sana tu kwa kuwa ndio wale wale wezi wa rasilimali zetu na wanajitahidi kuanzisha vijichama then vinapesajiliwa fast hata sijawahi kusikia kama vina wanachama wapi na wapi sawa na chama cha huyu mtu anayeitwa JOhn CHEyo huyu pia ni GambaCCMB maake yeye kila leo yuko nao magamba wenzie sasa naona wameongeza kingine ati CHAUMA ili ati kipime nguvu ya CHAMA CHA UKWELI NA CHA KUTETEA WANYONGE CHADEMA kama vile MAGAMBA waliwatuma CUF,TLP,NCCR,UDP na vingine vimeshindwa kuvuruga CHADEMA je nyie CHAUMA au CHAKIJIKO tehee tehee tehee mtayaweza poleni sana
 
Watanzania hawadanganyiki tena. Chama pekee cha upinzani kilichodhamiria kuinasua Tanzania kutoka mikononi mwa mafisadi ni Chadema. Full stop.
 
Sijui CCM wanafikiria nini? Kinachofanya watu wawachukue na hata kuwakataa ni kwa sababu ya kutojali matatizo ya wananchi walio wengi. Sasa badala ya kutumia kodi za wananchi kutatua kero mfano huduma za afya ambapo sasa madaktari wameshindwa kuvumulia, wao ccm wanaanzisha vyama uchwara!
 
CHADEMA sasa ni kama chama tawala, wananchi wengi wamekiamini, CCM inacheza ngoma inayopigwa na CHADEMA. CCM inajua ukweli huu ndo maaana inajitahidi kuwa nunua hivi vyama vingine dhaifu ili kupambana na CHADEMA.
 
Back
Top Bottom