Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo??

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo? Jiulize haya
yanatutokea kila siku..
-----------------------------------------------------
LAW OF QUEUE:
Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha
unakwenda mbio zaidi.

-----------------------------------------------------

LAW OF TELEPHONE:
Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy)

-----------------------------------------------------

LAW OF MECHANICAL REPAIR:
Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza
kuwasha ili uikune

LAW OF THE ALIBI:
Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari
lako limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli

BATH THEOREM:
Ukishajitia maji tu simu itaanza kuita

LAW OF ENCOUNTERS:
Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa
na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae

-----------------------------------------------------

LAW OF THE RESULT:
Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako
imeharibika ukiwasha itafanya kazi

LAW OF BIOMECHANICS:
Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale
ambapo huwezi kujikuna

THEATRE RULE:
Watu wanaokalia viti vizuri ndio wanaochelewa kufika

LAW OF COFFEE:
Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa yako bosi
atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa yako ipoe.
Ama kweli MBUZI WA MASKINI HAZAI

Je ni kweli jamani?????????
 
mh umenichekesha sana karibu yote nikumbana nayo yani same same mkuu
 
very true....
mimi nikiongozana na mrembo tu..
lazima ntakutana na mrembo mwingine.most of time ni ex gf.
 
Hivi ni kwanini ina kuwa hivyo? Jiulize haya
yanatutokea kila siku..
-----------------------------------------------------
LAW OF QUEUE:
Ukibadilisha mstari unapopanga foleni ule uliouacha
unakwenda mbio zaidi......haswa bank

-----------------------------------------------------

LAW OF TELEPHONE:
Namba unayopiga kwa makosa daima haipo bize (busy)....halafu inaingia kwa padre

-----------------------------------------------------

LAW OF MECHANICAL REPAIR:
Mikono yako inapokuwa michafu pua inaanza
kuwasha ili uikune

-----------------------------------------------------

LAW OF THE ALIBI:
Ukimdanganya bosi kuwa umechelewa kwa sababu gari
lako limepata pancha kesho yake utapata pancha kweli

-----------------------------------------------------

BATH THEOREM:
Ukishajitia maji tu simu itaanza kuita

-----------------------------------------------------

LAW OF ENCOUNTERS:
Uwezekano wa kuonekana na watu unaongezeka unapokuwa
na mtu unayetaka usionekane ukiwa nae.......:mad:

-----------------------------------------------------

LAW OF THE RESULT:
Unapojaribu kumueleza mtu kwamba mashine yako
imeharibika ukiwasha itafanya kazi

-----------------------------------------------------
LAW OF BIOMECHANICS:
Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale
ambapo huwezi kujikuna

-----------------------------------------------------

THEATRE RULE:
Watu wanaokalia viti vizuri ndio wanaochelewa kufika

-----------------------------------------------------
LAW OF COFFEE:
Ukikaa tu ofisini na kuanza kunywa kahawa yako bosi
atakuita na kukuchelewesha mpaka kahawa yako ipoe.
Ama kweli MBUZI WA MASKINI HAZAI

Je ni kweli jamani?????????

:confused:
 
na hutaki ex akuone na new machine?
au ww ni mzee wa post harvest!!

sometimes sio vizuri ur current gf kukutana na ex gf wako...
akimuona ex gf wako ni mzuri kumzidi,wanakuwa na insecurities.
 
Huenda hii ni kati ya sababu zake:
kuna kitu inaitwa kanuni ya mvutano ( law of attraction) katika hii sheria ni kwamba kila unachokiwaza ndio hutokea, maana unapowaza unatoa signal ambazo huenda katika dunia ambayo kutokana na sheria hiyo, dunia hujiadjust ili kutekeleza zile siginal ulizozitoa, na dunia yote ni a ttraction, then majibu ya kile ulichokuwwa hutaki kitokee ndicho hutoa. Evvverything is attraction! when you say noo to something, actually you dont put it away, but make it happen even faster. mfano kuna vita dhidi ya ukimwi, ugaid, ufisadi na kadiri tunavopambana na hayo ndivo yanatokea zaidi. when you say no to something, you give more power to it.
 
Daa kwa kweli umeniondoa hasira zangui nilizokuwa nazo.Nilikuwa TBC1 leo wameniboa sana..Nimecheka sana kwa hii thread yako..
 
Hata ukikutana na sms ya mapenzi kwenye simu ya partner wako uanze kutoa ukali au kumjibu vibaya huyo demu ndipo jamaa huzidisha mawasiliano! Ama?
 
-----------------------------------------------------
LAW OF BIOMECHANICS:
Sehemu inayowasha mwilini huwasha zaidi pale
ambapo huwezi kujikuna

-----------------------------------------------------

QUOTE]

hapo napo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom