Hivi ni kwanini HELSB hawana reserve list?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,323
Jamani mimi huwa naamini si watu wote wanaostahili kupata mikopo hufika chuoni.Sasa kwa wale ambao huwa hawafiki hela zao huwa zinakwenda wapi?
 
hela zao huwa zinarudihwa bodi ya mkopo ndo mana ile hela huwa inapitia kwenye akaunti ya chuo then chuo kinaingiza kwenye akaunti ya mwanafunzi ambaye karipoti
 
Back
Top Bottom