Hivi ni kwa nini wanaume wanapenda ku-test kabla ya kuoa?

Labda shosti ungetusaidia kitu kimoja, hao wanaotest wana test na kina nani? Maana naona unawalaumu wanaume peke yao ilhali hawatest na sabuni bali na watarajiwa wao. Mi nilitegemea ungejiuliza hivi ni kwanini siku hizi watu huwa hawaoani kabla ya kutesti zali? Hii ina faida kwa pande zote mbili. Kwanza wanakuiwa wameshajuana kiaina, kwa maana zote mbili yaani uzazi na saizi ya maumbile. Hivi mdada ndio umeolewa kabla hujatest, halafu siku ya siku ukakutana na kitu kama mguu wa mtoto itakuwaje? Utakimbia na cheti chako cha ndoa? Na au je ukamkuta mwenzio joka la kibisa, halipandi mtungi? Au kakitu kenyewe kadunjuu. Au bahati mbaya zaidi ukamkuta mwenzio anazo zote mbili? Mtapanga zamu ya kuwa baba au mama? Acha bana. Acha watu wa test bana, wajihakikishie kupata ile kitu roho inapenda kabla hawajaingia mikataba feki kama ya TRL au IPTL.
hahahaha. Hommie Asprin umeongea pwenti. I hope Zion Daughter ameelewa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom