Hivi ni kwa nini wanaume wanapenda ku-test kabla ya kuoa?

Nawatangazia wapwa zangu wote kuwa nimeamua kuhamishia mapenzi yangu kwa muhanga. Please dont intafia awa rileshenship.
Binamu sio kirahisi ivyoo umeprove Jinsia yake? utaingia choo cha kike ha ha ha ha!
 
I am proud to inform you that am "SHE" why desperately asking?

In addition, a married she, who did that before na nikaona matunda ya kutest kabla ya ndoa na ninafuraha sana kwenye ndoa kwa upande huo wa ngono kwani niliridhika nayo kabla ya kuisajili rasmi ndoa, na sijutii uamuzi huo.

kama nakufananisha bure jamani ;)
 
Lol! Nilijitahidi kuuliza mwanzoni binamu. Kama litakuwa dume itabidi nitafute jinsi ya kujiexpress nalo. Binamu utanisaidia hahahaha!
 
kama nakufananisha bure jamani ;)

Quote:​

I am proud to inform you that am "SHE" why desperately asking?

In addition, a married she, who did that before na nikaona matunda ya kutest kabla ya ndoa na ninafuraha sana kwenye ndoa kwa upande huo wa ngono kwani niliridhika nayo kabla ya kuisajili rasmi ndoa, na sijutii uamuzi huo.

Hii FL1 Umeichomekea. Una mpango wa kunibania. Acha hizo bana.
 
Lol! Nilijitahidi kuuliza mwanzoni binamu. Kama litakuwa dume itabidi nitafute jinsi ya kujiexpress nalo. Binamu utanisaidia hahahaha!
Lol! binamu unaweza kuta kitu ka "msasa" midume mingine noma mpwa ha ha ha ha umenichekesha sana
 
I am proud to inform you that am "SHE" why desperately asking?

In addition, a married she, who did that before na nikaona matunda ya kutest kabla ya ndoa na ninafuraha sana kwenye ndoa kwa upande huo wa ngono kwani niliridhika nayo kabla ya kuisajili rasmi ndoa, na sijutii uamuzi huo.

its reaaaaaaaly gettinh hot here
 
ipo siku wanaume watageuka wanawake...tuone kama tutakubali ku******wa hadi tupate mimba..acheni upumbavu

Atleast there is someone here who respects women. Hawa wengine utadhani hawajazaliwa na wanawake, maana wanaongea utumbo na kusaha mama zao, dada zao mabinti zao na wake zao ni wanawake. shame on you all who dont respect women.
 
Salute! Respect!
 
I respect women, and I love them all. Tatizo wengine hamtaki kunipenda na kunipa ile kitu roho inataka. Hahahaha! Especially you.
 
Back
Top Bottom