Hivi ni kwa nini wanaume wanapenda ku-test kabla ya kuoa?

Baada ya kutest na kuhakikisha mali ni mpya na inafanya kazi ulichukua au ndio uliacha iwe used material?....

mali mpya niiache tena?
nikajipanga na kufanya mashambulizi fasta wewee, nizubae nichekwe!. Lol.
 
....Kwani ikiwa sealed inaongeza nini? na ikiwa used kuna lolote linalopungua?? Msaada pleasee!!1!

Ikiwa sealed, unapata kitu orijino. Unaanza kukitumia wewe kwa raha zako. Lakini used inategemea aliyekitumia kabla yako alikuwa ana nidhamu ya namna gani. Unaweza kuta injini kwishnei, kila siku lazima uongeze engine oil. Inakula wese kama haina akili nzuri. Injini inatoa moshi mweupeeee! Lol! Piston inacheza mpaka unasikia mlio wa kugongagonga!
 
eeeeh, baelezee baelewe bana ba tanzanie iko na maneno mingi hapana jua mambo!
 
Somo lishawaingia mutu yangu. Bale baliokuwa banabisha sasa bako tayari kutestiwa. Banabana halafu banaachia.
weee HATUDANGANYIKI! Nitaanzisha NGO ya kuwashawishi mabinti wabane na kukaba hivohivo mpaka mwisho.Nitakushirikisha tuandae proposal ya kuombea hela kwa wadhamini,upo tayari?
 
weeeee, kuna vilainisho siku hizi, kitu kinalainika wanaachia wenyewe, tena siku hizi kuna msemo unasema SIDANGANYIKI ILA NASHAWISHIKA!, hahahahaaaaaaa wakuu mupo??, wapi papaa Fidel mutu ya pesa mingi?
 
Just PM me as soon as the NGO starts. Linapokuja swala la pesa na mabinti, huwa sijuagi kusema NO! Am ready darling, very ready!
 
weeeee, kuna vilainisho siku hizi, kitu kinalainika wanaachia wenyewe, tena siku hizi kuna msemo unasema SIDANGANYIKI ILA NASHAWISHIKA!, hahahahaaaaaaa wakuu mupo??, wapi papaa Fidel mutu ya pesa mingi?

Papaa Fidel anatest watu wa niangusage mwee huko Tukuyu.
 
woman_man_ighk.jpg
...Masanilo vipi mdada anacheki size ya mashine kabla hajaingiz timu uwanjani??? Mtu anaweza kuwe kampira kwapani..I like this
 
wewe ndio unae fikiria hivyo....this sound like- hivi kwanini wanawake wanapenda kutest kabla hawajaolewa!!
 
Ikiwa sealed, unapata kitu orijino. Unaanza kukitumia wewe kwa raha zako. Lakini used inategemea aliyekitumia kabla yako alikuwa ana nidhamu ya namna gani. Unaweza kuta injini kwishnei, kila siku lazima uongeze engine oil. Inakula wese kama haina akili nzuri. Injini inatoa moshi mweupeeee! Lol! Piston inacheza mpaka unasikia mlio wa kugongagonga!
...Kwani ile hata ukipitia kwa siku mara 3 ikipimwagiwa maji ya uvuguvugu si inakuwa mpya tena na unaendelea kujivinjari tu??? Mwanawane hata ukitoa seal mwenyewe baada ya round kadhaa lazima iwe mdebwedo!
 
tolking low about women you sound criminal... dogo acha dharau!
kumbuka mama yako anayo hiyo unayo itukana
 
Kwani wanaume hawawezi kusubiri mpaka siku ya ndoa? Na je haya mambo ya kutest ni sahihi au ndo wakati wake hasa ?
Wanaume tunaweza sana kusubiri lakini tatizo ni hawa wanawake ambao wanatoa nyuchi zao mapema zinachezewa na wanaume ambao sio waoaji. Laiti kama wanawake wangeacha kugawa hizo nyuchi zao kwa kila mwanaume anayekatiza mbele yao basi wanaume wako radhi kusubiri pale mwanamke anapomthibitishia kuwa yeye ni bikira. Sasa kama mwanamke sio bikira nasubiri ili iweje itabidi na mimi niendelee kufaidi katunda mpaka ndoa ije kufungwa hapo mbeleni. Kwahiyo the problem here is women ambao kwao wao kila mwanaume anayewatokea ana nia ya kuoa kumbe wengine nyembe tu.
 
ipo siku wanaume watageuka wanawake...tuone kama tutakubali ku******wa hadi tupate mimba..acheni upumbavu
 
Na je haya mambo ya kutest ni sahihi au ndo wakati wake hasa ?
Kwa mtazamo wangu sio sahihi ni basi tu tumejiundia taratibu zetu na kusahahu mila na desturi sahihi za kuendeshea maisha yetu ambazo zilihasisiwa na wazazi wetu hapo kabla. Ukipata maisha ya wazee wetu ndio utagundua kuwa kwa sasa tunachemka sana vijana hasa kwa kuwa na haya maisha ya kinyemela ambayo hayana maana yoyote zaidi kuleta matatizo makubwa hapo baadaye
 
Back
Top Bottom