Hivi ni kwa nini wanaume wanapenda ku-test kabla ya kuoa?

Zion Daughter

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
8,921
4,236
Nimekuwa nikiwasikia wanaume wengi wakisema kuwa hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Hapa ninaongelea waoaji na sio wababaishaji,Mtu anaweza kuwa amempenda mtu, ana nia ya kuoa na vigezo vingine vyote amekubali lakini bado atataka mpaka apewe unyumba.Nikichukulia mfano hapa Tanzania watu wengi wapo katika dini 2, wakristo na waislamu na zote zinakataza haya mambo ya kutest.Isitoshe zamani mababa zetu walikuwa wanasubiri mpaka siku ya ndoa ya kijadi itakapofanyika ndio wanaendelea.Na ndoa zao zilikuwa zinadumu na hakuna talaka za kumwaga kama siku hizi.
Mbaya zaidi kuna wengine wanatest mpaka wanapata HIV,Siku wanaenda kupima inakuwa to late.
Kwani wanaume hawawezi kusubiri mpaka siku ya ndoa? Na je haya mambo ya kutest ni sahihi au ndo wakati wake hasa ?
 
hakuna kitu kibaya kama kununu 'mbuzi mlio' bila kuona mbuzi mwenyewe, pata picha umeoana na mtu bila kutaste halafu at the end of the day unakuta amesheheni pande la muhogo au kibamia kiduchuu hata ukihema kwa nguvu kinatoka!!! ndio mwanzo wa mmoja wenu kuanza kuhanja nje ya ndoa akitaka kuridhika, pamoja na dini kukataza lakini bado nadhani kuna umuhimu wa ku-test ila tena isije ikawa ndio mazoea kila baad aya siku 2 mnapinduana, hapo tena mtachokana. waswahili wanasema ukitaka kula swain chagua aliyenona kabisaa ukate kiu, na mpenzi vivyo hivyo chagua yule ambaye mtaridhishana vinginevyo get prepared to face the consequences (if any)
 
Usiminye maneno, wanafanza uasherati kwanza kabla ya kuoana! Ndoa za namna hiyo huwa haziwi na amani, ni migogoro mtindo mmoja hadi talaka! Ukianza na shetani utamalizia na shetani! Kwa nini basi usianze na BWANA Yesu, kwa kuwa mke/mume mwema anatoka kwa BWANA, na kumaliza safari ya ndoa (kifo) naye? Matatizo mengine tunajitafutia wenyewe!
 
Nimekuwa nikiwasikia wanaume wengi wakisema kuwa hawataki kuuziwa mbuzi kwenye gunia.Hapa ninaongelea waoaji na sio wababaishaji,Mtu anaweza kuwa amempenda mtu, ana nia ya kuoa na vigezo vingine vyote amekubali lakini bado atataka mpaka apewe unyumba.Nikichukulia mfano hapa Tanzania watu wengi wapo katika dini 2, wakristo na waislamu na zote zinakataza haya mambo ya kutest.Isitoshe zamani mababa zetu walikuwa wanasubiri mpaka siku ya ndoa ya kijadi itakapofanyika ndio wanaendelea.Na ndoa zao zilikuwa zinadumu na hakuna talaka za kumwaga kama siku hizi.
Mbaya zaidi kuna wengine wanatest mpaka wanapata HIV,Siku wanaenda kupima inakuwa to late.
Kwani wanaume hawawezi kusubiri mpaka siku ya ndoa? Na je haya mambo ya kutest ni sahihi au ndo wakati wake hasa ?

Labda shosti ungetusaidia kitu kimoja, hao wanaotest wana test na kina nani? Maana naona unawalaumu wanaume peke yao ilhali hawatest na sabuni bali na watarajiwa wao. Mi nilitegemea ungejiuliza hivi ni kwanini siku hizi watu huwa hawaoani kabla ya kutesti zali?

Hii ina faida kwa pande zote mbili. Kwanza wanakuiwa wameshajuana kiaina, kwa maana zote mbili yaani uzazi na saizi ya maumbile. Hivi mdada ndio umeolewa kabla hujatest, halafu siku ya siku ukakutana na kitu kama mguu wa mtoto itakuwaje? Utakimbia na cheti chako cha ndoa? Na au je ukamkuta mwenzio joka la kibisa, halipandi mtungi? Au kakitu kenyewe kadunjuu. Au bahati mbaya zaidi ukamkuta mwenzio anazo zote mbili? Mtapanga zamu ya kuwa baba au mama? Acha bana.

Acha watu wa test bana, wajihakikishie kupata ile kitu roho inapenda kabla hawajaingia mikataba feki kama ya TRL au IPTL.
 
hapa tunachanganyana ,,,kwani wanao test ni wanawake au wanaume?......2siwe one-sided persons..........
 
Hii ndio saWA , wangine wanatest kama kazaigoti katashika na badae ndio ndoa hahahaha......
 
sio kutest tu dudu, watu siku hizi mpaka waone kichefuchefu ndo watangaze ndoa.
 
Labda shosti ungetusaidia kitu kimoja, hao wanaotest wana test na kina nani? Maana naona unawalaumu wanaume peke yao ilhali hawatest na sabuni bali na watarajiwa wao. Mi nilitegemea ungejiuliza hivi ni kwanini siku hizi watu huwa hawaoani kabla ya kutesti zali?

.

Mara nyingi wanaume ndio washawishi wakubwa wa kuvunja amri ya sita na hata wewe mwenyewe ukichunguza utakuta hivo.Na mara nyingi wanawake wanaogopa kukataa au wanaingia kwa mkumbo wakidhani kuwa ndio njia itakayowasaidia waolewe.
 
hakuna kitu kibaya kama kununu 'mbuzi mlio' bila kuona mbuzi mwenyewe, pata picha umeoana na mtu bila kutaste halafu at the end of the day unakuta amesheheni pande la muhogo au kibamia kiduchuu hata ukihema kwa nguvu kinatoka!!! ndio mwanzo wa mmoja wenu kuanza kuhanja nje ya ndoa akitaka kuridhika, pamoja na dini kukataza lakini bado nadhani kuna umuhimu wa ku-test ila tena isije ikawa ndio mazoea kila baad aya siku 2 mnapinduana, hapo tena mtachokana. waswahili wanasema ukitaka kula swain chagua aliyenona kabisaa ukate kiu, na mpenzi vivyo hivyo chagua yule ambaye mtaridhishana vinginevyo get prepared to face the consequences (if any)

Kama hayo unasema ni sahihi,mbona zamani walikuwa hawatest na still ndoa zao zilidumu na zilikuwa na furaha?
 
Kudumu zilidumu haina ubishi.Furaha sijui kama ni kweli!
Kuna utafiti uliwahi kufanyika mwanzoni mwa miaka ya 80 kwa wakina mama waliokuwa wa makamo walioolewa kwenye mtindo huu.Pamoja na kuwa ndoa zao zilidumu sana walikuwa na machungu tele mioyoni mwao na kukosa furaha.Wengine huzuni ilijionyesha hadi kwenye nyuso zao!
 
Kwangu mm kujaribu ni lazima yawezekana mm napenda ikiwa kavu na wewe ina maji maji ikawa nongwa nikawa sipati ile kitu roho inapenda vile vile yawezekana mwanamke ana maumbile makubwa mm yangu madogo tena ikawa nongwa vile vile yawezekana hujitumi kunako mm nikashindwa kuridhia perfomance yako ikawa nongwa lazima kujaribu radha wakuu hata wewe hapo hapo una onja radha ya mafanikio.
 
Kudumu zilidumu haina ubishi.Furaha sijui kama ni kweli!
Kuna utafiti uliwahi kufanyika mwanzoni mwa miaka ya 80 kwa wakina mama waliokuwa wa makamo walioolewa kwenye mtindo huu.Pamoja na kuwa ndoa zao zilidumu sana walikuwa na machungu tele mioyoni mwao na kukosa furaha.Wengine huzuni ilijionyesha hadi kwenye nyuso zao!

Dah! inawezekana ,lakini umesema waliokuwa na huzuni ni akina mama na sio akina baba kitu kinachoonyesha kwa suala zima la tendo la ndoa halikuwa na tatizo vinginevyo na wanaume nao wangekuwa na huzuni.Pengine walikuwa wanahuzuni kwa ajili ya ukali wa waume zao.Suala hapa liko kwenye tendo la ndoa hasa.
 
labda shosti ungetusaidia kitu kimoja, hao wanaotest wana test na kina nani? Maana naona unawalaumu wanaume peke yao ilhali hawatest na sabuni bali na watarajiwa wao. Mi nilitegemea ungejiuliza hivi ni kwanini siku hizi watu huwa hawaoani kabla ya kutesti zali?

Hii ina faida kwa pande zote mbili. Kwanza wanakuiwa wameshajuana kiaina, kwa maana zote mbili yaani uzazi na saizi ya maumbile. Hivi mdada ndio umeolewa kabla hujatest, halafu siku ya siku ukakutana na kitu kama mguu wa mtoto itakuwaje? Utakimbia na cheti chako cha ndoa? Na au je ukamkuta mwenzio joka la kibisa, halipandi mtungi? Au kakitu kenyewe kadunjuu. Au bahati mbaya zaidi ukamkuta mwenzio anazo zote mbili? Mtapanga zamu ya kuwa baba au mama? Acha bana.

Acha watu wa test bana, wajihakikishie kupata ile kitu roho inapenda kabla hawajaingia mikataba feki kama ya trl au iptl.

aaaah duniani kuna mambo
 
Dah! inawezekana ,lakini umesema waliokuwa na huzuni ni akina mama na sio akina baba kitu kinachoonyesha kwa suala zima la tendo la ndoa halikuwa na tatizo vinginevyo na wanaume nao wangekuwa na huzuni.Pengine walikuwa wanahuzuni kwa ajili ya ukali wa waume zao.Suala hapa liko kwenye tendo la ndoa hasa.
Unajua ZD, Kufurahia tendo hata bila kutest yawezekana maana inahitaji experience ya muda hadi kuwa compatible.Naamini wanawake hao kama waume zao waliwajali basi with time waliweza kufurahia.Kama wanaume wenyewe nao hawakujali basi itakuwa ni shughuli.Niliwahi kusikia pia kwamba wanawake wengine wa enzi hizoooo hawakujua hata O iko vipi.Kwa vile mwanaume yeye kaumbwa kuweza kufika kuleeee kunako bila ufundi wa ziada basi ndio maana wanaume huweza kufurahi hata bila kutest in advance.Wanaume hao hao bado jamii iliweza kuwafumbia macho pale walipotoka kutafuta ladha tofauti tofauti baada ya ndoa na hili liko wazi halihitaji mjadala kuthibitisha.
 
woman_man_ighk.jpg
 
Yeah binti Sayuni kuonja muhimu mama

Fidel vip wewe! unaona kuonja ni muhimu lakini ukichunguza kwa undani utakuta hasara ni nyingi kuliko faida. kwanza uaminifu unapungua wakishafunga ndoa na vilevile hawataweza kuwashauri watoto wao wasifanye zinaa nje ya ndoa kwa sababu wenyewe walikuwa wanafanya.Huoni kuwa hilo ni tatizo?
 
Fidel vip wewe! unaona kuonja ni muhimu lakini ukichunguza kwa undani utakuta hasara ni nyingi kuliko faida.

Binafsi nimepata faida kubwa mno si unajua my goal to marry ni 2012 sasa kwa wale nilio wawekea target nimejaribu kuonja kikubwa nimepata radha tofauti tofauti na nikabaini wengine kujiexpress hawataki basi tukaachana kimjini mjini huoni kama faida hiyo mama? Ningemweka ndani siku naomba kujiexpress inakuwa kesi ataanza kusema namnyanyapaa.
 
Back
Top Bottom