Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,196
Kuna uchache sana wa wanaume ukilinganisha na wanawake. Kama mwanaume akiachwa anaweza kurudi sokoni kutafuta mke mwingine kwa umri wowote atakaokuwa nao. Tofauti na mwanamke ambaye anafanya kuchaguliwa na wanaume. Akishaachika tu hana tena uhakika wa kuchaguliwa tena. Ndiyo maana wengi wapo tayari hata kulala kitanda tofauti na mmewe lakini siyo kuachika kabisa arudi kwao.
Pia nature ya jamii yetu ina shida, kwa maana ya kwamba mwanamke asiye na ndoa hana heshima. Sasa mwanamke atakapoamua kumuacha mkewe na kwenda kuishi kisela itamgharimu sana kisaikolojia na kijamii. Wakati huo huo kwa mwanaume anayeamua kumwacha mkewe anaonekana mjanja, hayupo tayari kupelekeshwa na mkewe. So mwanaume akiacha ni credit, lakini mwanamke akiacha anaonekana jeuri. hivyo ndivyo jamii yetu ilivyo. Na hii si Africa tu bali hata ulaya ni hivyohivyo.