Hivi ni kwa nini hua ipo hivi??

Purple

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
2,027
935
Katika maisha yangu nimeshuhudia wanaume wengi wakiwasaliti wapenzi/wake zao, na pindi wapenzi/wake zao wanapogundua wengi wao huwasamehe na maisha huendelea. Lakini kosa hilohilo(usaliti) linapofanywa na mwanamke,wanaume hua wagumu sana kuwasamehe na mara nyingi mahusiano huvunjika..
Nimekua nikijiuliza ni kwa nin wanaume wengi hua wagumu kusamehe especially kwenye kosa la usaliti na wakati wao ni mabingwa wa kukosea na kusamehewa??
Just curious!
 
Ngoja tusubiri; mtafute Babu DC na Sun Wu watajibu honestly!
 
Double standards and selfishness za wanaume. Wanawake husamehe kwasababu wanangalia beyond separation, zaidi watoto hakuna mwanamke mwenyeakili atakubali mtoto wake alelewe na mwanamke mwenzie au family isambaratike just because she couldn't FORGIVE.

Duuh lakini wenzetu wanaume wanaroho ya Ariel Sharon
 
asante madame x
so tunaweza kusema wanaume wameumbiwa hiyo roho au wanajitoa akili na fahamu?
 
okay,but naamini hata wewe unaweza kusema chochote kuhusiana na hili jambo

Uvumilivu kwa mwanamke ni Plus kwake
Uvumilivu kwa mwanaume ni ujinga/ubushoke/ufala

According to society ya Africa possibly duniani kote!

NB
Mwanamke kutovumilia ni ubeijing (according to society ya bongo)
 
Katika maisha yangu nimeshuhudia wanaume wengi wakiwasaliti wapenzi/wake zao, na pindi wapenzi/wake zao wanapogundua wengi wao huwasamehe na maisha huendelea. Lakini kosa hilohilo(usaliti) linapofanywa na mwanamke,wanaume hua wagumu sana kuwasamehe na mara nyingi mahusiano huvunjika..
Nimekua nikijiuliza ni kwa nin wanaume wengi hua wagumu kusamehe especially kwenye kosa la usaliti na wakati wao ni mabingwa wa kukosea na kusamehewa??
Just curious!

Kufuli linalofunguliwa na kila funguo hilo ni kufuli bomu halifai na linashahili kutupwa!(if a lock is opened by many keys..its defective and needs to be replaced)
Funguo inayofungua makufuli mengi hiyo ni MASTER KEY!

"A key that can open many locks is called a master key, but a lock that can be opened by many keys is a shitty lock"
 
Kufuli linalofunguliwa na kila funguo hilo ni kufuli bomu halifai na linashahili kutupwa!
Funguo inayofungua makufuli mengi hiyo ni MASTER KEY!

hahahaa
MS hii kali! Hiyo kufuli haiwezi kua master padlock kweli?
 
Uvumilivu kwa mwanamke ni Plus kwake
Uvumilivu kwa mwanaume ni ujinga/ubushoke/ufala

According to society ya Africa possibly duniani kote!

NB
Mwanamke kutovumilia ni ubeijing (according to society ya bongo)

i see! Kwa hiyo uvumilivu uliumbwa kwa ajili ya mwanamke tu bila shaka!
 
Kufuli linalofunguliwa na kila funguo hilo ni kufuli bomu halifai na linashahili kutupwa!(if a lock is opened by many keys..its defective and needs to be replaced)
Funguo inayofungua makufuli mengi hiyo ni MASTER KEY!

"A key that can open many locks is called a master key, but a lock that can be opened by many keys is a shitty lock"

naunga hoja mkono
 
Kwa mtazamo wangu,na katika hali ya kawaida toka utotoni tumekua tukikuta babu zetu wameoa wake wawili au hata watatu,wengine c babu,ni hata baba zetu walikua hivyo na mila iliyopo kwa Tza na Africa kwa ujumla.Ila haijawahi na kama imetokea bas ni nadra sana kuona mwanamke anaolewa na wanaume wawili huku wakijuana fika na kupeana zamu!! so kasumba hio inampa mwanaume ujasiri na utashi wa kumiliki mke/mwanamke yy kama yy pasipo mwingine na kama atagundua kuna mwingine bas yupo tyr kuachana nae,awe mpenz ama mke kabisa yote haijarishi! Just mtazamo wangu tu!
 
asante sangija so chanzo cha tatizo ni kuishi kwa mazoea right??
 
Back
Top Bottom