Hivi ni jamii(kabila) gani linaongoza kwa kuchapa Bakora au kuchapwa bakora?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Poleni na uchovu wana JF!
Dunia ina mambo! Ukishangaa ya farao utakutana na ya mwingine...
Hivi kuna makabila au jamii ambayo yenyewe ni majiant kwa kuchapa bakora? Au kuchapwa bakora?
Mimi ninaanzia na wajomba zangu Wajaluo...hawa kwa kuchapa bakora ni namba wani...ambae hana kabisa hua ana wakuwachapa bakora wanne!
Sijui na nyinyi mnalichangiaje?
 
mmmhhhh pole sana..
mi sijui kabila gani ila nakumbuka hiyo miaka ya nyuma shule ya msingi
walimu walikuwa wanapenda kuchapa sana...
 
Poleni na uchovu wana JF!
Dunia ina mambo! Ukishangaa ya farao utakutana na ya mwingine...
Hivi kuna makabila au jamii ambayo yenyewe ni majiant kwa kuchapa bakora? Au kuchapwa bakora?
Mimi ninaanzia na wajomba zangu Wajaluo...hawa kwa kuchapa bakora ni namba wani...ambae hana kabisa hua ana wakuwachapa bakora wanne!
Sijui na nyinyi mnalichangiaje?

majita wa kiluo ni noma wanachapana balaa
ila midemu yao gemu mpaka upigane
 
tusipowaweka wahaya, tutakuwa hatuwatendei haki. Mhaya kwake ni kama kila siku lazima ananihi
 
Poleni na uchovu wana JF! Dunia ina mambo! Ukishangaa ya farao utakutana na ya mwingine... Hivi kuna makabila au jamii ambayo yenyewe ni majiant kwa kuchapa bakora? Au kuchapwa bakora? Mimi ninaanzia na wajomba zangu Wajaluo...hawa kwa kuchapa bakora ni namba wani...ambae hana kabisa hua ana wakuwachapa bakora wanne! Sijui na nyinyi mnalichangiaje?
Mpwa oyaole. May be u shld b specific. Make naona hujaeleweka. What do u min
 
Kwa nini unadhani wanaJF wamechoka? (au unamaanisha ni wachovu?)

Teh teh teh...umeniumiza mbav zangu mmmiiieeee!
Nilikosa neno la hishma zaidi ya hilo...
Nimemaanisha tangu asbh ..mchana..usiku...tumo humu...vichwa vina.....
Nawapenda sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom