Hivi ni Halali?

The Kop

JF-Expert Member
Aug 7, 2010
209
92
Hivi ni halali kwa mafisadi kuimba wimbo wa "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote....nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weee...." wakati wanaonesha hawana hata chembe ya huruma kwa wananchi wa "inji" hii ambao wengi wanaishi "jehanamu" wakati wao na familia zao ( KIKWETE, LOWASSA, MKAPA, CHENGE, ROSTAM, KARAMAGI, orodha ni ndefu) wanaishi peponi?

Naomba kuweka mezani!
 
Sasa unataka wasiipende. Kuipenda wanaipenda kwa sababu wanakula raha na kutajirikia kwenye nchi hii. Ukiwa na mradi unaokupa pesa mjomba, si utaupenda tu huo mradi, au?
 
Hivi ni halali kwa mafisadi kuimba wimbo wa "Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote....nilalapo nakuota wewe, niamkapo ni heri mama weee...." wakati wanaonesha hawana hata chembe ya huruma kwa wananchi wa "inji" hii ambao wengi wanaishi "jehanamu" wakati wao na familia zao ( KIKWETE, LOWASSA, MKAPA, CHENGE, ROSTAM, KARAMAGI, orodha ni ndefu) wanaishi peponi? Naomba kuweka mezani!

mkuu! mada ipeleke jukwaa la siasa.hapa c mahali pake
 
Wanaipenda nchi yao kwa moyo wao wote maana bila ya nchi leo hii wasingeitwa MAFISADI,sehemu unayopata mkate wako wa kila siku ni lazima utaipenda bila kujali unapataje huo mkate.
 
Back
Top Bottom