Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

Anyways hapa kuna mambo mawili. Kuna shikamoo ya adabu haswa(ile ya kutofautisha umri/uwezo etc) na kuna shikamoo ya kuongezea utamu tu wa mapenzi.

Shikamoo baby kusema ukweli ni kupandishana mizuka tu. Wife akinipa shikamoo lazima mechi ipigwe fasta!
 
M naona very gud labda coz mi pia n mdau,mume wangu kanzd only 4 yrs bt hwa najckia raha sana nkimshka kakdev alaf namwamkia "shkamoo my king"na katabasam ka kchokoz akaa jaman inatia raha..Naye utackia "marhaba bebi"
 
hahaa dah! Namwomba mungu nimpate wa hivyo kwakweli! Nitampenda kweli,ila na wewe acha ku date na watoto wadogo!
 
Me siwezi kukusalimia hata uwe umenizid karne nzima,kwanza siku nikimsalimia hubby atahisi nampiga kibomu cha mwaka...maana akisikia tu nimeanza kumwita darling anacheka anajua kufuatacho ni kuombwa kitu...ngoja nijaribu kesho
 
sikuwa nimecheka tangu asubuhi, teh teh teh teh.... shikamoo haina shida lia hapo pa kumalizia ndio tatizo... unaitikia tu... marahaba bebi.....
 
Back
Top Bottom