Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

Especially pale mkubwa anapokuwa ni mwanume shikamoo lazime ihusike, lakini kidume hutakiwi kutoa shikamoo hata kama unakandamiza shugamamy, ila inabidi shughuli uifanye kwa ufanisi ili kujenga heshima.

Hapa unataka kumaanisha kwamba, kama mwanamme hana performance nzuri hahitaji heshima? maana kama nimekuelewa kwako shikamoo ni heshima.
 
Mbona mi namuakia Paw shkamoo kuubwa kabla ya busu la maana. Ndo maana mnahesabiwa hela za saluni, mi naachiwa credit card nasonsomola tani yangu.
 
duh, mbona mnaishangaa sana shikamoo???? me wangu ananizidi zaidi ya miaka kumi lakini huwa tunasalimiana. akinipigia simu lazima atanisalimia na kama me ndo wa kwanza kumpigia namsalimia. tena huwa nasikia raha kusalimia na mpenzi wangu tena kiunyenyekevu. "shikamoo mama" wee chezeiya mahabat weye!!!!!!!!
 
Mi nlikua na sister wangu, marehemu sasa.

Alikua anamuamkia mumewe mpk utuuzimani na mpk kufa kwao.

Shikamoo ni heshima, mi naona kama haina neno.
 
Dah huyo dada anaheshima kweli

Akhaa mie Hata simuakii mtu Hata kama mkubwa VP

Kama muislam ntampa Assalam Alaikum

Kama sio muislam "Habari" na salam zingine zinatosha


Shikamoo mwiko kwangu!
 
kkwa hiyo usiku umepiga mzigo alafua asubuhi anakwambia "shikamoo baby" ha ha ha ha me siwezi si sawa
 
unamuamkia shikamoo mtu anayeenda naye kwa bed!!!!!!!!!!!!!mi sifanyi huo ujinga. kama unamzidi kwa nini akubali muwe wapenzi??
 
shikamoo baby grand amour!

wow sounds romantic!!!

inaondoa stress sometimes!

but isiwe serious.. kuwe na kautani kidogo!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom