Hivi ni haki mpenzi/mke wako kukusalimia shikamoo?!

Hilo swala la muhim ni heshima tu wala halileti distance eti mtaogopana hapana,shikamoo palepale,utani,masihala ndiyo

kwao,penzi linanoga kabisa lakini tukikutana,ukiamka,ukipigiwa simu au ukipiga unaaza kwa kuamkia!....
 
Hakuna raha kama kumuamkia shikamoo
Afu naye ajiamini katika kuiitikia
Huku saa hizon wamfua shati na viatu.

Chezeiya shikamoo kwenye mahaba wewe, inaunyanyua mbuyu mara moja

sema wewe kiazi mie mhogo nina mzizi!yani mi siku nikipewa ile kitu mpka naposahau jina langu asubuhi yake lazima nmwage shkamoo,af inanoga zaid nikimalizia shikamoo mume wangu!wacha kabisa!
 
sema wewe kiazi mie mhogo nina mzizi!yani mi siku nikipewa ile kitu mpka naposahau jina langu asubuhi yake lazima nmwage shkamoo,af inanoga zaid nikimalizia shikamoo mume wangu!wacha kabisa!

Mh kama nakuona vile...halafu hapo ukute uliendeshwa mchaka mchaka mpaka ukaongea kilugha...then lazma uporomoshe mvua ya shikamoo!ha hahaA!
 
Shikamoo haijakaa poa bana kwa wanandoa...
Unless kama inatolewa as a surprise au kama utani flani..
Mambo vipi mke/mume wangu ndio mpango mzima..
Ila pacha snowhite umenifurahisha ina maana siku shemeji akiitendea vyema K kesho yake lazima adamke na shikamoo..lol
 
Last edited by a moderator:
Si mnapenda kuheshimiwa. Itikia.

halafu na lizzy mara kadhaa mmeshikia bango hii kitu,afu kama adhabu vile kwa mnaowafanyia,mmewahi lazimishwa nini kuamkia?!

walah mimi hili kosa linaweza yumbisha mahusiano kwa kiwango cha juu mno,karibu kuachana!yaani kwanini uniamkie,kwasababu ipi hasa ya msingi?hakuna shikamoo hapa,hata kidogo!
 
Shikamoo haijakaa poa bana kwa wanandoa...
Unless kama inatolewa as a surprise au kama utani flani..
Mambo vipi mke/mume wangu ndio mpango mzima..
Ila pacha snowhite umenifurahisha ina maana siku shemeji akiitendea vyema K kesho yake lazima adamke na shikamoo..lol
naam,hapo huwa anajua ah jana!ah man was at work!
 
Mazoe hujenga tabia. Kama mke na mme hamsalimiana ndani ya nyumba, mnategemea watoto watajifunza nini? Salamu toka kwa mke kwenda kwa mme mara nyingi huwa kama dawa katika ndoa au mapenzi. Salamu huonyesha uwepo wa amani kati ya pande mbili zinazopeana salamu.
 
Mnapenda kuchimba hata vitu visivyo na maana. Shikamoo ikawa utumwa lini. Wangu namsalimia, hana tatizo.
 
Inaleta raha sana ukiwa umetoka kukandamiza halafu baada ya muda unasalimiwa na uliyemkandamiza "shikamoo mume wangu". Nyie watoto wa dot.com kama hamuipendi hiyo tuachieni wazee tufaidi heshima.
 
Shkamoo kwa mpenzi wako/mumeo naona kama inajenga gap kati yako na mpenzio wakati mnatakiwa kubehave kama/zaidi ya marafiki....
 
Especially pale mkubwa anapokuwa ni mwanume shikamoo lazime ihusike, lakini kidume hutakiwi kutoa shikamoo hata kama unakandamiza shugamamy, ila inabidi shughuli uifanye kwa ufanisi ili kujenga heshima.
Micha kumbe na wewe umo kwenye mambo haya!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom