hivi ni format gani inakubali kuedit?

g.n.n

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
407
49
habari zenu wakuu.
Jama ni mda mreet najitahidi kujaribu kuedit some videos ambazo ninmerekodi either kwenye simu au digital camera ila nikijaribu kuedit through windows movie maker inasema format haikubali je ni format gani inakubali na zinarekodiwa na mashind ipi?
Natanguliza shukrani.
 
Kama una software ya total video converter,convert video zako katika .avi files.Zipo avi za aina nyingi jaribu mojamoja hadi itakayokubali.But lazima iwe avi.Kushney
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom